Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

Kuna moshi mzito anga la Mwenge, Mawasiliano na Ubungo. Inasemekana Kiwanda cha Magodoro GSM kinateketea.

---
Kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam kimeungua moto

Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana kwa sasa.

View attachment 2148653
Chanzo cha moto huo ni Paul Makonda
 
Wafanye uchunguzi wajue chanzo tuache kupiga ramli.

Kwani ajali huwa zinachagua wakati wa kutokea?.
 
Wewe

Wewe ni genious.

Inabidi watu wa bima wachunguze chanzo Cha ajali hii kwa kina na ikiwezekana Hawa watu wasilipwe.

Makonda ana maovu yake, lakini kwa hili, hapana.

Hawa tusipokua makini tunaweza jikuta Yale ya Akina Gupter family kule south Africa yanatukuta.
Ni nani maadui wa GSM ambao wanaweza kudiriki kufanya hili?

Kuna wakati GSM alituhumiwa kufanya biashara ya madawa
 
Kuna moshi mzito anga la Mwenge, Mawasiliano na Ubungo. Inasemekana Kiwanda cha Magodoro GSM kinateketea.

---
Kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam kimeungua moto

Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana kwa sasa.

View attachment 2148653
Hiyo ni kazi ya bashite [emoji817]
 
mbona kama kitu toka kwa putin

IMG-20220313-WA0001.jpg
 
Umaskini mbaya sana
Hapo anaona kawakomoa
Kama ni uhasidi basi ni hulka za wengi
Ila ukiwa maskini ni kapuku tu hata upitie vyeo vingapi kama hela huijui nayo haikujui tu tusilazimishe
 
Kuna moshi mzito anga la Mwenge, Mawasiliano na Ubungo. Inasemekana Kiwanda cha Magodoro GSM kinateketea.

---
Kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam kimeungua moto

Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana kwa sasa.

View attachment 2148653
Unapo dhani unaweza vita na wale jamaa mwisho utapotea... Historia inatukumbusha watawala huwekwa na wana idara na yote wanayafanya ni kwa masilahi ya Taifa... Mambo mengine kupotezea... Haya mm napita...
 
Back
Top Bottom