Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Wakati wananchi wakisubiri Ratiba ya Maandamano kutoka Dodoma, ambayo itatolewa muda si mrefu kutoka sasa, Taarifa kutoka kwenye Timu yetu ya Uchunguzi iliyosambaa kote Dar inaeleza kwamba, tayari Jeshi la polisi lishasambaza vikosi kwenye karibu kila makutano ya barabara za Jiji, Kuanzia Mbagala hadi Kawe
Bado hatujaelewa lengo la vikosi hivyo mitaani, kama ni ulinzi na doria za kawaida au kuna lingine, maana siku zote za nyuma hawakufanya hivyo.
Bali kingine tulichokibaini kutoka kwa wananchi ni maandamano ya kesho kuelekea kwenye nyumba za ibada yatakuwa ya Amani na utulivu huku yakijaa majonzi Makuu.
UJUMBE: MAOMBOLEZO SIYO UHALIFU
NEVER AND NEVER AGAIN