Dar: Kuelekea Maandamano ya Maombolezo, Polisi waanza kuzagaa mitaani ili kuleta Taharuki

Dar: Kuelekea Maandamano ya Maombolezo, Polisi waanza kuzagaa mitaani ili kuleta Taharuki

Wakati wananchi wakisubiri Ratiba ya Maandamano kutoka Dodoma, ambayo itatolewa muda si mrefu kutoka sasa, Taarifa kutoka kwenye Timu yetu ya Uchunguzi iliyosambaa kote Dar inaeleza kwamba, tayari Jeshi la polisi lishasambaza vikosi kwenye karibu kila makutano ya barabara za Jiji, Kuanzia Mbagala hadi Kawe

Bado hatujaelewa lengo la vikosi hivyo mitaani, kama ni ulinzi na doria za kawaida au kuna lingine, maana siku zote za nyuma hawakufanya hivyo.

Bali kingine tulichokibaini kutoka kwa wananchi ni maandamano ya kesho kuelekea kwenye nyumba za ibada yatakuwa ya Amani na utulivu huku yakijaa majonzi Makuu.

UJUMBE: MAOMBOLEZO SIYO UHALIFU

NEVER AND NEVER AGAIN

Hivi lile Kongamano lao liliokuwa lifunguliwe na Maza leo pale mlimani limefikia wapi...!!?
 
Soma title yako mwenyewe

Umesema maandamano ya maendeleo

Au hujui hata unachoandika?

Shabikia sana hizi vurugu but rest assured - utakuja kujuta
Pumbavu sana, unamtisha nani?
 
Mwaka huu polisi wa wambura wameandamanishwa mara nyingi sana. Tangu wauwe watu wamekuwa wakishinfishwa juani kwenye main janctions zote wakilinda bila mafanikio
Let’s see
 
Ulitakaje kwani
Police kuwepo barabarani ni ishara kuwa Watanzania wapo salama kabisa
Na wanaweza kuendelea na miangaiko yao ya kila siku

Wachochezi lengi lenu kuwatisha Watanzania wajifungue majumbani wakose kujitaftia riziki walale njaaa ndio tumaini lenu

Lkn Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kavunja njama zenu kwa Watanzania
Kaagiza Police wawepo wa kutosha ili kutoa tumaini la kiusalama kwa Wote wapenda Amani

Mtashindwa Vibalaka wa njaa na Uchochezi kwa Watanzania
wenzenu ✍️
Mkuu hawezi kututisha huyo. Tayari wengine tuko majiani.
 
Back
Top Bottom