Dar: Kuelekea Maandamano ya Maombolezo, Polisi waanza kuzagaa mitaani ili kuleta Taharuki

Dar: Kuelekea Maandamano ya Maombolezo, Polisi waanza kuzagaa mitaani ili kuleta Taharuki

Mbona Mimi nipo hapa makutano ya karume ofisi za mkoa dar es salaam na sioni vikosi vyovyote vile!!!
 
Maandamano ya Mo29 ni zao la Chadema kuzuiya Uchaguzi

ushahidi Kwanini mmeshusha Bendera nyinyi kama nyinyi kama ni Wananchi ❓

Vyama vingine vip vimeshusha Bendera zao!!!!

Muda sio mrefu tutakaguana mifukoni
Ukikutwa kuwa Mwanachama hai wa Chadema basi nisawa kukutwa na 2kg za Bangi
Ndio twendako kwasasa😳😳
Huna akili
 
Kukutwa na Bangi na kukutwa na Card ya Chadema kutakuwa ni makosa yenye kufanana kisheria yote yanaanzia Mahakama
ya Wilaya ✅️

sio mahakama ya mwanzo ❌

Drama zenu zinaenda fikia
Mwisho ✍️
 
Inasemekana Viongozi wa CHADEMA wanashirikiana na baadhi ya viongozi wa Kanisa Katoliki kuchochea na kusababisha vurugu zingine.
Tunaomba hila na njama hizo zishindwe na zidhibitiwe na nguvu ya dola bila kumuonea aibu mtu au kikundi chochote.

Mungu ni mwema hawawezi na lile pango lao la pale Kenya wameshalinyea wenyewe wakati wowote wanatimuliwa pale Nairobi

Maneno mengi Drama nyingi
Kupotea kwake kwa Drama
Tena wanataka Viongozi wa Kenya wawajibike mbaya zaidi wale wakora wa Nairobi wakajiunga kwenye Drama yao😳😳

Sasa safisha safisa Wachochezi wote waende Ulaya kwa mabwana zao Wazungu ✍️
 
Wakati wananchi wakisubiri Ratiba ya Maandamano kutoka Dodoma, ambayo itatolewa muda si mrefu kutoka sasa, Taarifa kutoka kwenye Timu yetu ya Uchunguzi iliyosambaa kote Dar inaeleza kwamba, tayari Jeshi la polisi lishasambaza vikosi kwenye karibu kila makutano ya barabara za Jiji, Kuanzia Mbagala hadi Kawe

Bado hatujaelewa lengo la vikosi hivyo mitaani, kama ni ulinzi na doria za kawaida au kuna lingine, maana siku zote za nyuma hawakufanya hivyo.

Bali kingine tulichokibaini kutoka kwa wananchi ni maandamano ya kesho kuelekea kwenye nyumba za ibada yatakuwa ya Amani na utulivu huku yakijaa majonzi Makuu.

UJUMBE: MAOMBOLEZO SIYO UHALIFU

NEVER AND NEVER AGAIN
Yaani hutaki police wawepo road au watakaje hasa!
 
Kwasasa Wachochezi watakosa kichaka
Africa Mashariki
Yote Sio salama kwao 🤠

wamechoka hoi na michuki yao kwa Rais wetu kipenzi chetu ✍️
 
Kwasasa Wachochezi watakosa kichaka
Africa Mashariki
Yote Sio salama kwao 🤠

wamechoka hoi na michuki yao kwa Rais wetu kipenzi chetu ✍️
Raisi wa ile nchi ya Giza nasikia alikuwa malaya.
 
Ulitakaje kwani
Police kuwepo barabarani ni ishara kuwa Watanzania wapo salama kabisa
Na wanaweza kuendelea na miangaiko yao ya kila siku

Wachochezi lengi lenu kuwatisha Watanzania wajifungue majumbani wakose kujitaftia riziki walale njaaa ndio tumaini lenu

Lkn Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kavunja njama zenu kwa Watanzania
Kaagiza Police wawepo wa kutosha ili kutoa tumaini la kiusalama kwa Wote wapenda Amani

Mtashindwa Vibalaka wa njaa na Uchochezi kwa Watanzania
wenzenu ✍️
Yani we kichaa unatafuta Kila mbinu uingie kwenye mfumo wa kina mwashambwa pale Lumumba ila hawakutaki🚮naona umebadilisha na aina ya uandishi ili wakufikilie upya. Sasa hapo huoni polisi wanapelekeshwa na wao wanakuwa kama waandamanaji maana walizoea kurelax sana Hadi wanakuwa na vitambi sasa hivi ni mwendo wa kutangaza tarehe tunawapigisha gwaride nchi nzima
 
Yani we kichaa unatafuta Kila mbinu uingie kwenye mfumo wa kina mwashambwa pale Lumumba ila hawakutaki🚮naona umebadilisha na aina ya uandishi ili wakufikilie upya. Sasa hapo huoni polisi wanapelekeshwa na wao wanakuwa kama waandamanaji maana walizoea kurelax sana Hadi wanakuwa na vitambi sasa hivi ni mwendo wa kutangaza tarehe tunawapigisha gwaride nchi nzima
😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom