Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Posho kivipi wakati ni kazi yaoHujui kuwa wao hapo ndo furaha Yao maana posho inaingia vita ya panzi ni furaha ya kunguru.
Posho kivipi wakati ni kazi yaoHujui kuwa wao hapo ndo furaha Yao maana posho inaingia vita ya panzi ni furaha ya kunguru.
Haya ni maajabu.Mmeona Police tu Wajeda wapo tayali kuja kutoa Somo jipyaa la Uzalendo
Kikinuka tu jengo lenu linapigwa MOTO
kwasasa mmepaniwa kinoma mjuwe mkijitingisha tu Viongozi wote wa Chadema watakimbia kwa miguu na sijui wataenda wapi
Mana Kenya washatuka michadema wanawachafua kimataifa
Wkt wowote watatimuliwa Kenya
Drama zao za kitoto wanachafua Kenya kwamakusudi
Wakenya washatuka kumbe
kunakupotea Kipropaganda
Uchafuzi wa nchi ya Kenya 🇰🇪
Hakiķa wanaonekana kŭzagaa kila anayeweza awaulize ni nini malengo yao?Wakati wananchi wakisubiri Ratiba ya Maandamano kutoka Dodoma, ambayo itatolewa muda si mrefu kutoka sasa, Taarifa kutoka kwenye Timu yetu ya Uchunguzi iliyosambaa kote Dar inaeleza kwamba, tayari Jeshi la polisi lishasambaza vikosi kwenye karibu kila makutano ya barabara za Jiji, Kuanzia Mbagala hadi Kawe
Bado hatujaelewa lengo la vikosi hivyo mitaani, kama ni ulinzi na doria za kawaida au kuna lingine, maana siku zote za nyuma hawakufanya hivyo.
Bali kingine tulichokibaini kutoka kwa wananchi ni maandamano ya kesho kuelekea kwenye nyumba za ibada yatakuwa ya Amani na utulivu huku yakijaa majonzi Makuu.
UJUMBE: MAOMBOLEZO SIYO UHALIFU
NEVER AND NEVER AGAIN
Utaua genZ wote na kuwafunga kwa kusingizia cdm? Jaribu na unasita nini. Usitishe watu fanya hiyo kitu kesho mo29.Kukutwa na Bangi na kukutwa na Card ya Chadema kutakuwa ni makosa yenye kufanana kisheria yote yanaanzia Mahakama
ya Wilaya ✅️
sio mahakama ya mwanzo ❌
Drama zenu zinaenda fikia
Mwisho ✍️
Huku Mwanza piaMwenge wapo
Morocco wapo
Tegeta wapo
Kunduchi wapo
Town ndo usiseme
Afu watakwambia watz ni waoga. Kati ya wananchi na polisi ya wambura nani muoga?
Kanisa limesema misaWakati wananchi wakisubiri Ratiba ya Maandamano kutoka Dodoma, ambayo itatolewa muda si mrefu kutoka sasa, Taarifa kutoka kwenye Timu yetu ya Uchunguzi iliyosambaa kote Dar inaeleza kwamba, tayari Jeshi la polisi lishasambaza vikosi kwenye karibu kila makutano ya barabara za Jiji, Kuanzia Mbagala hadi Kawe
Bado hatujaelewa lengo la vikosi hivyo mitaani, kama ni ulinzi na doria za kawaida au kuna lingine, maana siku zote za nyuma hawakufanya hivyo.
Bali kingine tulichokibaini kutoka kwa wananchi ni maandamano ya kesho kuelekea kwenye nyumba za ibada yatakuwa ya Amani na utulivu huku yakijaa majonzi Makuu.
UJUMBE: MAOMBOLEZO SIYO UHALIFU
NEVER AND NEVER AGAIN
Karibu sana chawaJaribuni muone 🔥
Nawashauri tuHuku Mwanza pia
Kisesa wapo
Igoma wapo
National wapo
Buzuruga wapo
Mabatin wapo
Mjin wapo
Kirumba wapo
Bwiru wapo
Buhongwa wapo
Ila hata wao wana wasi wasi sana sijui shida ni nini
Nani kakuambia maombolezo ni mapambano?Kanisa limesema misa
Nyie mnataka maandamano
Hivi busara zenu ziko wapi? You enjoy to sacrifice innocent young boys and girls?
I have a few genZ ambao Naomba Mungu kila siku wasipambane na serikali kwa nyama na mifupa yao Bali waache nyie wahamasishaji muwe front na mkutane na Umeme
Kamtishe bibi Yako kijijini mpumbavu wewe. Hii nchi ya mamayako.dhetani weweJaribuni muone 🔥
I hope utakua mbele kabisa kesho ukipiga mawe polisi iki ulazwe vizuriKaribu sana chawa
Soma title yako mwenyeweNani kakuambia maombolezo ni mapambano?
Nakushauri ukae kimya as long as wewe haumo. Nchi ya kwetu wote hiiNawashauri tu
Acheni kujaribu mamlaka za kidunia
Msijidanganye - wengi wanaochochoea wako nje ya nchi na wanalipwa vizuri tu
Hata mazishi yenu hawatakuja kuhudhuria
Komwe lako wewe sura mbovuuuUlitakaje kwani
Police kuwepo barabarani ni ishara kuwa Watanzania wapo salama kabisa
Na wanaweza kuendelea na miangaiko yao ya kila siku
Wachochezi lengi lenu kuwatisha Watanzania wajifungue majumbani wakose kujitaftia riziki walale njaaa ndio tumaini lenu
Lkn Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kavunja njama zenu kwa Watanzania
Kaagiza Police wawepo wa kutosha ili kutoa tumaini la kiusalama kwa Wote wapenda Amani
Mtashindwa Vibalaka wa njaa na Uchochezi kwa Watanzania
wenzenu ✍️
Mwaka huu polisi wa wambura wameandamanishwa mara nyingi sana. Tangu wauwe watu wamekuwa wakishinfishwa juani kwenye main janctions zote wakilinda bila mafanikioI hope utakua mbele kabisa kesho ukipiga mawe polisi iki ulazwe vizuri
Polisi wapo wangapi? Walimu je? Kama una uchungu wa posho wanazolipwa mbona huongrlei wanazolipwa.walimu kwa mitihani? Unaongelea posho za polisi ambao hawafiki hata laki?Watu wanapiga posho kwa ujinga wenu, amani italindwa kwa nguvu zote..Mnapanga vurugu ,jino kwa jino
Hujawahi miliki akili, mara chadema imekifa mara Chadema wamefanya hivi, ndiyo maana unadharaulikaMmeona Police tu Wajeda wapo tayali kuja kutoa Somo jipyaa la Uzalendo
Kikinuka tu jengo lenu linapigwa MOTO
kwasasa mmepaniwa kinoma mjuwe mkijitingisha tu Viongozi wote wa Chadema watakimbia kwa miguu na sijui wataenda wapi
Mana Kenya washatuka michadema wanawachafua kimataifa
Wkt wowote watatimuliwa Kenya
Drama zao za kitoto wanachafua Kenya kwamakusudi
Wakenya washatuka kumbe
kunakupotea Kipropaganda
Uchafuzi wa nchi ya Kenya 🇰🇪
We jamaa sijui unaandika haya ukiwa na akili timamu kweli???Kukutwa na Bangi na kukutwa na Card ya Chadema kutakuwa ni makosa yenye kufanana kisheria yote yanaanzia Mahakama
ya Wilaya ✅️
sio mahakama ya mwanzo ❌
Drama zenu zinaenda fikia
Mwisho ✍️