Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Na hili jua watu wanashinda wamesimama tu, sio poa.....Polisi wanaandamanishwa kwa akili ya juu,tena juani.
Hujui kuwa wao hapo ndo furaha Yao maana posho inaingia vita ya panzi ni furaha ya kunguru.Polisi wanaandamanishwa kwa akili ya juu,tena juani.
Noma sanaNa hili jua watu wanashinda wamesimama tu, sio poa.....
Wake juani hivyohivyo kwa siku tatu hadi tumalizie misa ya kuombea marehemu wetu.Kama ni wanywa gongo waagize waletewe hapohapo juani.Lazima wale kwa jasho.Na hili jua watu wanashinda wamesimama tu, sio poa.....
Posho za laana tupu.Ndiyo maana wanashindwa hata kulipa kodi kwenye nyumba walizopanga.Wanamaliza zote kwenye ulevi wa gongo na kununua matakataka.Hujui kuwa wao hapo ndo furaha Yao maana posho inaingia vita ya panzi ni furaha ya kunguru.
CHADEMA siku hizi wanamiliki makanisa na kusoma misa?Chadema ndio wanao taka kuchochea tena fujo.
Hawa jamaa hawatakiwi kuchekewa, wanapaswa kubinywa korodani.
Tuwafuatilie hadi chooni.
Amani ya Taifa letu ni muhimu sana kuliko Chadema au Taasisi yoyote ile.
Maandamano ni ya wananchi siyo ya ChademaMmeona Police tu Wajeda wapo tayali kuja kutoa Somo jipyaa la Uzalendo
Kikinuka tu jengo lenu linapigwa MOTO
kwasasa mmepaniwa kinoma mjuwe mkijitingisha tu Viongozi wote wa Chadema watakimbia kwa miguu na sijui wataenda wapi
Mana Kenya washatuka michadema wanawachafua kimataifa
Wkt wowote watatimuliwa Kenya
Drama zao za kitoto wanachafua Kenya kwamakusudi
Wakenya washatuka kumbe
kunakupotea Kipropaganda
Uchafuzi wa nchi ya Kenya 🇰🇪
Inasemekana Viongozi wa CHADEMA wanashirikiana na baadhi ya viongozi wa Kanisa Katoliki kuchochea na kusababisha vurugu zingine.CHADEMA siku hizi wanamiliki makanisa na kusoma misa?
Wake juani hivyohivyo kwa siku tatu hadi tumalizie misa ya kuombea marehemu wetu.Kama ni wanywa gongo waagize waletewe hapohapo juani.Lazima wale kwa jasho.
Una ushahidi hata wa uongo.?Inasemekana Viongozi wa CHADEMA wanashirikiana na baadhi ya viongozi wa Kanisa Katoliki kuchochea na kusababisha vurugu zingine.
Tunaomba hila na njama hizo zishindwe na zidhibitiwe na nguvu ya dola bila kumuonea aibu mtu au kikundi chochote.
Kumbe maandamano haramu bado hayajafanyika hadi muda huu?Wakati wananchi wakisubiri Ratiba ya Maandamano kutoka Dodoma, ambayo itatolewa muda si mrefu kutoka sasa, Taarifa kutoka kwenye Timu yetu ya Uchunguzi iliyosambaa kote Dar inaeleza kwamba, tayari Jeshi la polisi lishasambaza vikosi kwenye karibu kila makutano ya barabara za Jiji, Kuanzia Mbagala hadi Kawe
Bado hatujaelewa lengo la vikosi hivyo mitaani, kama ni ulinzi na doria za kawaida au kuna lingine, maana siku zote za nyuma hawakufanya hivyo.
Bali kingine tulichokibaini kutoka kwa wananchi ni maandamano ya kesho kuelekea kwenye nyumba za ibada yatakuwa ya Amani na utulivu huku yakijaa majonzi Makuu.
UJUMBE: MAOMBOLEZO SIYO UHALIFU
NEVER AND NEVER AGAIN
uko sahihi 100% gentleman 🔥Inasemekana Viongozi wa CHADEMA wanashirikiana na baadhi ya viongozi wa Kanisa Katoliki kuchochea na kusababisha vurugu zingine.
Tunaomba hila na njama hizo zishindwe na zidhibitiwe na nguvu ya dola bila kumuonea aibu mtu au kikundi chochote.
Maandamano ni ya wananchi siyo ya Chadema