Dar: Kuelekea Maandamano ya Maombolezo, Polisi waanza kuzagaa mitaani ili kuleta Taharuki

Haya ni maajabu.
Raisi aliyechaguliwa kwa kura 98 ,% anawaogopa wapiga kura wake? Hivi alichaguliwa nanani?
 
HakiΔ·a wanaonekana kΕ­zagaa kila anayeweza awaulize ni nini malengo yao?
 
Kukutwa na Bangi na kukutwa na Card ya Chadema kutakuwa ni makosa yenye kufanana kisheria yote yanaanzia Mahakama
ya Wilaya βœ…οΈ

sio mahakama ya mwanzo ❌

Drama zenu zinaenda fikia
Mwisho ✍️
Utaua genZ wote na kuwafunga kwa kusingizia cdm? Jaribu na unasita nini. Usitishe watu fanya hiyo kitu kesho mo29.
 
Mwenge wapo
Morocco wapo
Tegeta wapo
Kunduchi wapo
Town ndo usiseme
Afu watakwambia watz ni waoga. Kati ya wananchi na polisi ya wambura nani muoga?
Huku Mwanza pia
Kisesa wapo
Igoma wapo
National wapo
Buzuruga wapo
Mabatin wapo
Mjin wapo
Kirumba wapo
Bwiru wapo
Buhongwa wapo
Ila hata wao wana wasi wasi sana sijui shida ni nini
 
Kanisa limesema misa

Nyie mnataka maandamano

Hivi busara zenu ziko wapi? You enjoy to sacrifice innocent young boys and girls?

I have a few genZ ambao Naomba Mungu kila siku wasipambane na serikali kwa nyama na mifupa yao Bali waache nyie wahamasishaji muwe front na mkutane na Umeme
 
Huku Mwanza pia
Kisesa wapo
Igoma wapo
National wapo
Buzuruga wapo
Mabatin wapo
Mjin wapo
Kirumba wapo
Bwiru wapo
Buhongwa wapo
Ila hata wao wana wasi wasi sana sijui shida ni nini
Nawashauri tu

Acheni kujaribu mamlaka za kidunia

Msijidanganye - wengi wanaochochoea wako nje ya nchi na wanalipwa vizuri tu

Hata mazishi yenu hawatakuja kuhudhuria
 
Nani kakuambia maombolezo ni mapambano?
 
Nani kakuambia maombolezo ni mapambano?
Soma title yako mwenyewe

Umesema maandamano ya maendeleo

Au hujui hata unachoandika?

Shabikia sana hizi vurugu but rest assured - utakuja kujuta
 
Nawashauri tu

Acheni kujaribu mamlaka za kidunia

Msijidanganye - wengi wanaochochoea wako nje ya nchi na wanalipwa vizuri tu

Hata mazishi yenu hawatakuja kuhudhuria
Nakushauri ukae kimya as long as wewe haumo. Nchi ya kwetu wote hii
 
Komwe lako wewe sura mbovuuu
Liongo liongo sana sura ina mabonde mabonde
 
Watu wanapiga posho kwa ujinga wenu, amani italindwa kwa nguvu zote..Mnapanga vurugu ,jino kwa jino
Polisi wapo wangapi? Walimu je? Kama una uchungu wa posho wanazolipwa mbona huongrlei wanazolipwa.walimu kwa mitihani? Unaongelea posho za polisi ambao hawafiki hata laki?
Ongea lolote kuhusu ma v8
 
Hujawahi miliki akili, mara chadema imekifa mara Chadema wamefanya hivi, ndiyo maana unadharaulika
 
Yote haya ni nn? Viburi vimewajaa viongozi jeuri na ubabe wa kizamani.Watu wastaarabu wanaitana wanakaa meza moja wanaangalia wapi wamejikwaa maisha yanaendelea .Duniani tunapita tu kulikua na wababe kina Musolin na Hitler walishia vifo vya aibu.
 
Kukutwa na Bangi na kukutwa na Card ya Chadema kutakuwa ni makosa yenye kufanana kisheria yote yanaanzia Mahakama
ya Wilaya βœ…οΈ

sio mahakama ya mwanzo ❌

Drama zenu zinaenda fikia
Mwisho ✍️
We jamaa sijui unaandika haya ukiwa na akili timamu kweli???
Ni vile ndugu zako wote wa karibu wapo salama na wala huna hofu kama bado wapo hai au wamekufa baada ya milio ile ya risasi.Kwahiyo ni bora kukaa kimya na kuwaacha waliofiwa na ndugu zao na wengine ambao hawajui hata miili ya ndugu zao wa karibu ilipo,waomboleze kwa amani.Ushauri wa bure sana huu ,bora ukae kimya maana manung'uniko yao na majonzi yao huwezi kuyaelewa hata kidogoπŸ˜₯πŸ˜₯πŸ™πŸ™πŸ™πŸ˜­
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…