Dar: Kuelekea Maandamano ya Maombolezo, Polisi waanza kuzagaa mitaani ili kuleta Taharuki

Nawashauri tu

Acheni kujaribu mamlaka za kidunia

Msijidanganye - wengi wanaochochoea wako nje ya nchi na wanalipwa vizuri tu

Hata mazishi yenu hawatakuja kuhudhuria
Mkuu hakuna anaye ijaribu wala kuidharau mamlaka binafsi naheshimu sana mamlaka nipo makini sana
 

Hivi lile Kongamano lao liliokuwa lifunguliwe na Maza leo pale mlimani limefikia wapi...!!?
 
Soma title yako mwenyewe

Umesema maandamano ya maendeleo

Au hujui hata unachoandika?

Shabikia sana hizi vurugu but rest assured - utakuja kujuta
Pumbavu sana, unamtisha nani?
 
Mwaka huu polisi wa wambura wameandamanishwa mara nyingi sana. Tangu wauwe watu wamekuwa wakishinfishwa juani kwenye main janctions zote wakilinda bila mafanikio
Let’s see
 
Mkuu hawezi kututisha huyo. Tayari wengine tuko majiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…