Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

DIVISHENI FOO cocastic 🌈🌈
 
Ukichunguza sana wanawake hasa ndio wanaendekeza ujinga wa hawa wapumbuvu, tena hasa ma single mama.

huwezi ona mwanaume mwenye akili zake timamu au mwanamke mwenye mahusiano yake thabiti kualika mashoga kwenye shughuli zao na kufanya vituko.
Kwa wanaume ni Diamond ndio anaendekeza huo ujinga na kuwapromote.
 
Serikali ndio ina uwezo wa kukomesha haya matukio by kuzindua mahakama maalumu kwa ajiri ya mashoga na LGBTQ.

Gonga likes kama unakubaliana nami!!
Serikali yenyewe ya huyu mzanzibari mwanamke???
 
Gazeti lako hili halibadilishi chochote. Poleee sanaaa.
😂😂😂😂😂😂
 
Gazeti lako hili halibadilishi chochote. Poleee sanaaa.
😂😂😂😂😂😂
Pole kwako,nani kakwambia nataka kuwabadilisha? Ninyi endeleeni kufanya upuuzi wenu si tumekubaliana hamvunji sheria yoyote?

Mtakapoanza kujisaidia kama bata, kansa ya njia ya haja kubwa,madonda huko matakoni sijui ni nani atafanya kazi ya kuwadekia na kuwasafisha.

Endeleeni tu kwa bidii,si m'meamua kumchallenge aliyewaumba. Kawapa matundu ya kujisaidia ninyi mkageuza sehemu ya utamu.
 
Wanaume hatuna huo muda kabisa aiseee kwanza jitu la hivyo hata hand shake huwezi fanya nae.
Sasa hand shake ndo inakata kiu? Wasengee wanataka ukunii, hand shake ukipeana na ndugu zako inatoshaa.

Wanaume hawana huo muda, sasa hao ******* wanaliwa na kina nani? Hivi uko timamu wewee?
Au ndo kuvurugwa kwenyeweee? 😂😂😂😂😂
 
Ukitaka kuvaa nepi unaambiwa acha! Unapigwa rungu! Hivi nepi nayo ni kitu ya kumnyima mtu! Sheria imezuia, usijambe, usivae nepi!

Cc: Extrovert cocastic dronedrake Mzee wa kupambania
Kama ****** umeshatoka puru kwa kufirwa vaa nepi tu hakuna wa kukuzuia ila usitake kupiga nayo picha na ku-share eti ni style nzuri,inafahamika mashoga lazima mvae pampers na nepi la sivyo mitaa ingenuka mavi matupu!
 
Asante ndugu, umetoa ufafanuzi wa kutosha.
 
Ni muhimu kutofautisha kati ya maendeleo ya kijamii na kupoteza mwelekeo wa maadili na utambulisho wetu kama taifa. Tanzania ni nchi yenye misingi ya mila, desturi, na maadili ya Kiafrika yanayotambua ndoa na mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke kama msingi wa familia na jamii. Hii siyo “tabia ya kimazoea” bali ni sehemu ya utambulisho wetu wa kimsingi unaotufanya kuwa mtanzania

Ni kweli si kila kitu kilichopo sasa kilikuwepo zamani, lakini si kila mabadiliko ni maendeleo. Kuna tofauti kati ya maendeleo ya kisayansi au kiuchumi na kubadili maadili kwa misingi ya “uhuru wa mtu binafsi” bila kujali athari zake kijamii.

Hoja kwamba “ushoga sio tatizo” wakati ujinga, umaskini na uchumi ni matatizo, haimaanishi tushirikiane kuhalalisha ushoga. Ni sawa na kusema “tusilalamike kuhusu rushwa kwa sababu njaa ipo.” Maovu hayawezi kuhalalishana and it actual bullshit
 
Mwanaume kuwa mwanamke na kuolewa ni tatizo kubwa.
 
Wee nae kwani hivyo vyote unavyosema hao straight uchwara hawapatii? Mbona kuna wanawake nao wanaliwa nnya, vipi hii haiwahusuu?

Waache watu watumie miili yao kadri ya watakavyo. Lol
 
Sijui kwa nini mjadala wenye hoja ya ushoga ndani yake unakuwa mkubwa kiasi hiki.
Wengi wetu ushoga ni chukizo kubwa , ushahidi ni maoni ya watu kwenye mijadala hio ikiwepo uzi huu.

Watetezi pamoja na kuwa wazuri kwenye kujenga hoja lakini hawajaweza kuwa na hoja ya nguvu dhidi ya wanao pinga.
 
NIMEAMINI JF KUNA MASHOGA WENGI SNAAA KUPITIA HII MADA
 
Dah ! Kwa hiyo haya mambo(LGBTQ ) Kuna wanasukuma yatokee na yaendelee kuwepo? Hebu niambie chama gani kilipinga kuhukumiwa kwa hao mashoga?
Lissu alipinga hadharani, kwakisingizio et ni mambo ya faragha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…