LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Kuna muda huwa natamani sana kudeal na wanaume ila kila nikichakata nakuta majibu yanamhusu mwanamke na sababu nitakupa:Nimemquote huyo jamaa maana ameblame wanawaken kwamba wao ndo wanawaendekeza mashoga. Amesahau kwamba mtoto wa kiume ili awe wa kiume anahitaji malezi ya baba. Mama hawezi kumlea mtoto wa kiume mwenyewe bila kuwepo na mwanaume karibu.
Wizi wizi tu yaaniHuyu cocastic ni mihemuko inamsummbua tu, eti mtu akiamua kumu ignore yeye anadhani amemuogopa kumbe akikimbia ujnga.
Kwanza mtu anatetea mwanaume kufirwa, unadhani atakuwa timamu kichwani?
Inasikitisha sanaWote hao wanawake na wanaume wanaliwa ndo maana wanaalikana.
Jambo la ajabu sana hili mkuuWanawake ukiwafikiria sana unakosa majibu kabisa.
Na wanaume nasi shida kweli, unamuharibuje mtoto wa kiume kana kwamba wanawake hawapo?
Umeamka sasa ukamnyonyeshe junior
Ubaya wanawake ndo mashoga wa mashogaLINDENI WATOTO WENU LA SIVYO WATAISHIA KUFANYIWA USODOMA
Ukiwa masikini hawa wanawake wa mjini wanakuita mdhaifu ila ndio hao hao wa kwanza kufurahia kampani ya hawa chapati
View attachment 3441736
Mwenyezimungu atunusuru na anusuru vizazi vyetu. Dunia imefika pabayaLINDENI WATOTO WENU LA SIVYO WATAISHIA KUFANYIWA USODOMA
Ukiwa masikini hawa wanawake wa mjini wanakuita mdhaifu ila ndio hao hao wa kwanza kufurahia kampani ya hawa chapati
View attachment 3441736
Wamama ni wafirwaji na wafariji pia, msitutetee wamama wenye ushirikiano na haya mamchicha mwiba ,hayana tofauti nao nadhani wengine wanakwendaga hata thee somewafiraji ni wanaume, wafariji ni wanawake
Hapa ndipo mnapokosea .mkishaanza tu kuliweka hili jambo kwenye udini.wayahudi nao ni waislam?Alafu mashoga mengi yana majina ya kiislamu kwa nini?
Kumbe ndio lucas huyuNa kuna huyu Lucas Mwashambwa
View attachment 3442356
Achana nao hao mkuu wewe endelea kukitumia kizomea choo vile utakavyoKila mtu atumie kinyeo chake vile anaona inafaa.
Sasa hapo kosa lao ni nini? sheria za nchi zinasemaje? Katiba inasemaje?
Kama haupendi jinsi dume linavyojiweka kidada, hilo ni tatizo lako.
Basi mwambie samia awakataze madume kuvaa SHUMIZI.
Eeeeh, tumechoka sasa, ukikaidi, ukijifanya hupendi kuona madume yamevaa shumizi nenda Bungeni ukatunge sheria ya UVAAJI WA SHUMIZI, kapitishe mwenyewe utie saini uwape polisi waanze kuwacharaza viboko.
Kalamu si unayo? wino unao? Kaandike sheria kisha uiprinti tuanze utekelezaji.
Tumechoshwa, tumechoka, hata ukitaka kujamba unaambiwa acha usijambe, sheria imezuia.
Mnataka tukajambe wapi? Kila kitu sheria.
Ukitaka kuvaa nepi unaambiwa acha! Unapigwa rungu! Hivi nepi nayo ni kitu ya kumnyima mtu! Sheria imezuia, usijambe, usivae nepi!
Cc: Extrovert cocastic dronedrake Mzee wa kupambania
In short hakuna mwisho coz gvt ndo ipo kweny position ya kukabili but naskitika kusema kwa sasa hawawez may be tujetupata president mfn wa jpm ambaye alikuwa mbion kupiga pin kupitia sheria kali. Now kila mtu apambane kivyake tu. Coz elimu ya maadi ya kiafrica au kidini sioni ikipindua globalization bila support ya gvt.Kila mtu ajilinde yeye na watoto wake? 😂😂 Nimecheka hapo! Ila ni kweli mitaani huku watu wanaishi kama raia wa nchi tofauti tofauti.
SAsa Koskey unafikiri mwisho wa mashoga hapa Tanzania ni nini? Itakuwa ndio jinsia mpya au?
Kuna mmoja alitaka kunizoea mtaani,nafikiri hawezi kunisahau kila akitoa salamu anakutana na buyu siku hyo ameongozana na vdada viwili wamenikuta mgahawani salamu tena mi kimyaa..! kaka nakusalimia mimi kimyaa.. #minaonamkositu kidada kimoja kinaniambia kaka unapoteza bahatiMungu alinde vizazi vyetu,mtu yeyote mwenye ukaribu na shoga ni Adui yangu!!!!
Hta sisi tukiamua tu kuwa wasiojulikana kwa hawa tunqwezaSerikali ndio ina uwezo wa kukomesha haya matukio by kuzindua mahakama maalumu kwa ajiri ya mashoga na LGBTQ.
Gonga likes kama unakubaliana nami!!