Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Muoneni huyu!!!
 
Eti eeeh?
Coca samahani nikwambie kitu, Miaka mitatu au minne KUANZIA SASA, IWE ni ya Kujuana TU hap kijiweni jf, halafu kuanzia 2028 au 2029. Mipango ya kuonana face by face ianze. Nadhani hapo KILA MTU kati yetu atakuwa na amani na mwenzake.

SAMAHANI COCA NGOJA NIKUOMBEE KIDOGO KWA MUNGU

EH MUNGU BABA KIJANA WAKO NILIKUOMBA UBAVU WA PILI BABA, LAKINI KIMYA, HAKIKA BABA, NIKIWA NME KATAA TAMAA BABA, ATIMAE SASA NA NYANYUA MIKONO YANGU KWAKO KUSHUKURU KWA KUMPATA BABA, NAMUOMBEA UZIMA, AFYA NA AMANI BABA UKAMBARIKI , UMLINDE NA UMFUNIKE KWA MIKONO YAKO BABA, NA AHIDI KUMHESHIMU NA KUMVUMILIA MADHAIFU YAKE YOTE, NAMALIZIA KWA KUSEMA AMINA.


full stop, kwishaaaaaa
Aririiiiiiiiii!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa viumbe ni marafiki wakubwa wa CHADEMA. James Delicious na Dayon Monsoh wamekuwa mstari wa mbele kukiunga mkono CHADEMA. James Delicious alishiriki zaidi kwenye kampeni za katiba mpya huku Dayon akipambana na NRNE. Mange na Maria kama watetezi wa mashoga nao kwa sasa ndo wanakiendesha CHADEMA. Kimsingi kukiunga mkono CHADEMA ni kuunga mkono ushoga.
 
Yaan mnavyolia na kukerekwa km hivii. Bas huku rohoo kwatuuuuuu.
Watu weuweeeeeee!!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii vita dhidi ya ushoga inabidi kutumia akili sana kwa sababu wahusika wakuu wako miongoni mwetu na wengi ni watu matajiri... wanasiasa wengi wa chama tawala na upinzani huwa wanatajwa sana kujihusisha. Hata mashoga wengi wamekuwa wakisema wanatafunwa na watu wazito. Mwaka 2018 mjini kuliibuka skendo kubwa ya kiongozi fulani mzito kusaga wanawake wenzake ikashtua kwa tulioisikia.... mwaka 2020 ndo ikaibuka upya.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila wewee!! Daaah
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…