Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Gazeti hili limeandikwa huku machozi yakibubujikwaaa.
Watuuu weuweeeeee!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ona jinga moja hili. Yaani hapa unaona umeongea hoja ya msingi kweli kweli na unaongea hivi ili kulisaidia taifa na jamii yako kuwa bora zaidi?
Nimeongea hoja ya msingi kwa mujibu wa KATIBA.

Tuishi na KATIBA.

Kama unaona KATIBA ni mbaya, nenda kaandike ya kwako.

Wino unao, na kalamu unayo, KAANDIKE katiba yako tuone kama itafanya kazi.

Demokrasia, haki ya kuzungumza, haki ya kufokolewa kinyeo, na haki ya kunyonya paipu.

Vyote vimeelezwa. Kaangalie.
 
Wewe ni mwanaume au mwanamke?πŸ€”
 
Serikali itumie wasiojulikana kuwaua mabasha wote hili ndo Suluhisho la kudumu !!!
Kuwaua ni ukatili mkubwa mnoo, wacha aliewaumba ashughulike nao kadiri ya mapenzi yake.

Hata hivyo utaua wangapi ilhali kila siku wanatengenezwa mashoga wapya?

Kila mzazi/mlezi awajibike kikamilifu kumkuza mtoto katika maadili yanayofaa.
 
wafiraji ni wanaume, wafariji ni wanawake
Ungetuliza akili yako ukasoma na kuelewa comment yangu, ungetambua kuwa haikuwa ikiongelea ufirwaji bali uendekezaji wa kuwapa promo kwa kuwaalika kwenye shughuli like some clowns.

Ila mimi ni nani nianze kubishana na uelewa wako?
 
LINDENI WATOTO WENU LA SIVYO WATAISHIA KUFANYIWA USODOMA

Ukiwa masikini hawa wanawake wa mjini wanakuita mdhaifu ila ndio hao hao wa kwanza kufurahia kampani ya hawa chapati
View attachment 3441736

Bro hii unayofanya hapa ni promo.
Tunataka ulete habari za jinsi jamii inavyohangaika nao. Mfano kakamatwa na kupelekwa jela/mahakamani. Au anakimbizwa na mapanga na marungu na wanajamii waliokereka. Hiyo ni sawa. Sasa unaleta ambayo anashangiliwa kwa vifijo na nderemo. Hapo umefanya promo. Hata mimi ninayejibu nayo ni ujinga. Huu uzi uishie hapa
 
Hao mashoga wanaliwa na kina nani? Si ni wanaume?
Kwani mashoga sio binadamu? Wao hawapaswi kuhudhuria shughuri mbali mbali?

Mahusiano thabiti yapii? Haya ya kuachana kila leo? Em tutoleeni ngenga zenu hapa.
Najua nimepiga kwenye mshono.

Sipingi uhuru wa mtu kutumia maungo yake vile atakavyo ila napinga promo kubwa inayofanywa kama vile ni sharti kila mtu awe shoga ama kuwa shoga ni some sort of a special case.

Nina hakika hata kama wewe ni shoga huwezi kujipura na ma make up, kubinua vikalio na kuanza kuongea pumba hadharani kama vile ni kivutio cha taifa.

Ingekuwa sexuality ni matangazo, basi hata walio straight wangekuwa wakitembea mboro nje zikiwa zimedisa ili tu kuonyesha urijali wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…