Lakini mimi Njiro huwa napaogopa naona kama kun baridi sana kama Njombe
Hiyo namba tatu unawezaje? Hata wadada wakiwa "huko" hawaogi mara tatu.Pole mkuu, tuna adapt kibishi:
1. Kulala na feni, na boxer tu,
2. Matembezi vest lazima ndani
3. Apply deodorant and antiperspirant
4. Kuoga x3 per day
5. Kufua nguo mara kwa mara
6. Piga sana maji na juice
7. Ukitembea sana ukikuta mti kivuli pumzika ni bure
8. Usiwasikilize wanaosema kwani hauna gari, kati ya watu 10 Dar wenye magari wapo 3 tu. Wote tunateseka.
9. Weekend nenda beach ya bure.
Nakuona hapa RiversideMkuu hamia huku Ngarenanyuki kwetu ni baridi hapa nimejifunika duvet muda huu.
Kwani mkuu wewe umehamia lini huku Dar? Mimi nina mwezi sasa lakini nakomaa nalo hivyo hivyo! Naona huku Kimara mwisho ndani ndani huku hakuna joto!Dar yote
Mimi hapa nimetweta vibaya mnoUmofya kwenu!
Husika na kichwa cha mada hapo juu.
Wenzangu mnaishije ? Hii hali mimi hapana .
Basi anywe maji mengiUtawasha feni kwenye daladala?
Unamiliki LANDCRUISER?
Lala utupuNinayo lakini hali bado mbaya
Halijafikia hata robo la dar.Unalijua joto la ngokoro na nguzo nane ShyCity?
Watu wa dar mnadeka sana sasa mtu kuhisi joto ndo anakuja kufungua uzi kweli?We nae,, kama hujui maisha ya Mtanzania yalivyo.
Ina maana we unakaa sehemu moja siku zote kama pua??
Wanaume wa dar acheni umama joto tu ndo mtu unakuja lalamika jf, na jioni kwenye vijiwe vyenu vya alkasusu hamshindwi ambiana joto limeletwa na Samia.Povu la nini hapo? Kwanza hapo siyo kwenu ila unaona umefika. Bwege kweli
Umofya kwenu!
Husika na kichwa cha mada hapo juu.
Wenzangu mnaishije ? Hii hali mimi hapana .
Umetoka wapi Hadi hujui matumizi ya AC na feni?Umofya kwenu!
Husika na kichwa cha mada hapo juu.
Wenzangu mnaishije ? Hii hali mimi hapana .
Umewahi kufika Oldadai? Engijabe je?Lakini mimi Njiro huwa napaogopa naona kama kun baridi sana kama Njombe
Mkuu,Umofya kwenu!
Husika na kichwa cha mada hapo juu.
Wenzangu mnaishije ? Hii hali mimi hapana .
Hapana mkuuUmewahi kufika Oldadai? Engijabe je?