DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Sheria inaelekeza, ikitokea imeshindikana kuuza kwa mnada, basi serikali itaamua namna ya kugawa hizo samani.

Msingi hapa ni kwamba hizo samani zikitaifishwa basi nchi nzima kwa ujumla itanufaika na hizo samani na sio Dar pekee.
Which is still a good thing.
 
Mwenye makontena asingekuwa msukuma, kibarua kingeota mbawa, kwa sabbat huyu alilenga kuhujumu uchumi kwa kuidanganya TRA
 
anunue kwani yeye ana shule? Zipo taasisi nyingi tu zinaweza kununua kwa matumizi yao.
Mmeambiwa atayenunua atalaaniwa. Maana yake kama ni mtoto wa kike akikalia, makalio yatasinyaa na kuwa flat screen. Na kama ni mtoto wa kiume, mgongo utaongezeka na kuwa na mabastola. Je ungependa laana kama hizi zikupate kisa tu umenunua thamani za bei chee?
 
Amesahau kuwa daima YATIMA HADEKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, pia mkuchika ameonesha kukerwa na lugola juu ya issue ya yule bosi wa magereza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uchochezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna cha laana hapo hayo ya laana kayasema mbumbumbu bashite. mtu mwenyewe hajasoma unategemea aongee nini?
 
Mpango hajatumbuliwa mpaka sasa?? Hii Vita mmoja ataondolewa tu. Na possibly Makonda ili kuinua morali kwa watumishi wengine hasa mawaziri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kufukiria tu nje ya box kwamba hivi mambo haya yanayoendelea kati ya Bashite na Mpango kulikuwa na haja wananchi tuyajue ?
Kwani baba hawezi kuwaita akatoa suruhu yakaisha ?
Au ndo mnatutoa kwenye ajenda za msingi kutupofusha macho?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…