Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mpango alichofanya ni ku encourage watu waende kununua hivyo vifaa na hakumjibu BashiteThat is obvious. Sasa kwa nini Mpango anajiingiza katika malumbano naye? Si afanye kazi tu.
Au ndiyo serikali ya kutunishiana misuli na mashindano ya nani zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app