Watu wa kanda hile huwa hawapendi kushauriwa....
Iv ni project gani makonda kafanya ikafanikiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumtoa Manji Yanga mpaka Yanga Kuwa Matonya wa awamu ya Tano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa kanda hile huwa hawapendi kushauriwa....
Iv ni project gani makonda kafanya ikafanikiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
NafurahiBritanicca hivi unalia ama unacheka...ebu fafanua.!!
Asante,na nia yangu wanielewe wachache ikibidi Mello tubritanicca wewe mwenyewe hujielewi wala hueleweki.
Britanicca hivi unalia ama unacheka...ebu fafanua.!!
Kwamba husithubutu kuchangia inua familia yako tuhata mie nimeshangaa sijui nimueleweje
Wapi alikana au nyie ndio mlimkanisha?Sheria si mnatunga wenyewe na kuzipitisha kwa kusema ndioooo!!Sasa hapo unashangaa nini?!
Alafu jiulize ni kwanini mwanzoni aliakana alafu baadae akayakubali?
We jua tu hilo ni dili limebumbuluka.
Ulitaka aagize tu anavyotaka kisa ni vifaa vya kugawa mashuleni?Asante,na nia yangu wanielewe wachache ikibidi Mello tu
Kwenye majina yake ni pa kuchunguza, anaweza hasiwe na nia mbaya, ila kutaka sifa ionekane ni makonda kafanyaUlitaka aagize tu anavyotaka kisa ni vifaa vya kugawa mashuleni?
Kama ni vifaa vya kugawa kwenye mashule kwanini aandike majina yake?
Hilo tayari ni kosa. TRA nao wana akili timamu hawawezi toza kodi vifaa vya msaada kwa ajili ya elimu. britaniccaKwenye majina yake ni pa kuchunguza, anaweza hasiwe na nia mbaya, ila kutaka sifa ionekane ni makonda kafanya
MlimkanishaSheria si mnatunga wenyewe na kuzipitisha kwa kusema ndioooo!!Sasa hapo unashangaa nini?!
Alafu jiulize ni kwanini mwanzoni aliakana alafu baadae akayakubali?
We jua tu hilo ni dili limebumbuluka.
Kwahiyo ni Mali yake binafsi?Hilo tayari ni kosa. TRA nao wana akili timamu hawawezi toza kodi vifaa vya msaada kwa ajili ya elimu. britanicca
Wewe ukiagiza gari nyaraka zikasoma britanicca hilo gari kisheria ni lako.Kwahiyo ni Mali yake binafsi?
AhojiweKosa la Makonda mwenyewe kuandika jina lake binafsi na kwa kweli kama angesamehewa angeyapeleka kwake na wala asingekuwa na makosa ni mali yake