Nani kakwambia hiyo ya Makonda ni michango ya diaspora? Mtu kaingiza consignment ya samani kifisadi chini ya uratibu wa wafanyabiashra mafisadi nyie mnasingizia diaspora chini ya mwavuli wa elimu? Rais Magufuli shikilia hapohapo tuone mwisho wa hii kitu!Britanicca hivi unalia ama unacheka...ebu fafanua.!!
Hao watu ni wapumbavu sana ..Sheria si mnatunga wenyewe na kuzipitisha kwa kusema ndioooo!!Sasa hapo unashangaa nini?!
Alafu jiulize ni kwanini mwanzoni aliakana alafu baadae akayakubali?
We jua tu hilo ni dili limebumbuluka.
Issue sio kwa vile ni vifaa vya ElimuHilo tayari ni kosa. TRA nao wana akili timamu hawawezi toza kodi vifaa vya msaada kwa ajili ya elimu. britanicca
Yaani anunue tu hata kama hana mpango wa kuzitumia!!, yaani afanye mambo ya kisiasa kwa nia ya kumkomoa dogo RC wa Dar!!.Dk Mpango angeonesha njia kwa kununua angalau kontena moja kuthibitisha kwamba yeye haogopi vitisho vya kulaaniwa yeye na uzao wake.
Mwisho wa siku hizo fanicha zitaozea hapo bandarini wakose wote!
Documents zinasoma jina lake maana zikitolewa ana uamuzi wakufungua Duka lakuuza hizo Furniture naaasiulizwe akishtakiwa Documents zitamlinda maana zina jina lakeKwahiyo ni Mali yake binafsi?
Mkuu huyu mkuu wetu wa mkoa si tu hana hekima, bali anataka kufungua uchochoro wa ukwepaji kodi.Yaani umemaliza kabisa mkuu! Elimu ikiwa kwa kiwango kidogo kuliko hitaji husika haya ndo matatizo yake; nimejifunza kuwa siku zote elimu ya kutosha inakufanya ujue kuwa kuna mengi mno ya kujua na hivyo kukufanya uwe mnyenyekevu na makini katika kuweka akiba, ikiwemo ya maneno.
Kwa bahati mvaya sana DAB, akuzingatia mashauri ya Sulemani katika Mithali 4:13 na kama kubadilisha jina kumeshindwa kumhekimisha hakuna kanisa litakalomsaidia kufikia malengo yake kwa mbinu dhalimu.
Kilichokaki ni kurudi na kubembeleza mamlaka ya uteuzi; labda kuna maajabu yatakayowezekana.
Pole nyingi kwa DAB lakini uzuri ni kwamba anaendelea kujifunza, japo kwa njia ngumu kuwa mara nyingine mbeleko inaweza kuwa ngumu sana kupatikana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara pap!! BREAKING NEEWZ!!!!,badiliko la baraza la mawaziri,mpango nje!!!!
Ofsini kwetu mabango ya baraza la mawaziri tulishayachana maana kila tukinunua hili,kesho linakuja jipya!!!
Sheria hairuhusu Furniture kuwa na Msamaha wa KODIHivi vifaa vingeingia kwa msamaha wa kodi halafu vyote au zaidi ya nusu vingingia Home shopping centre. Ndo mchezo wao.
Sent using Jamii Forums mobile app