DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Suala la makontena yaliyotangazwa kupigwa mnada limechukua sura mpya baada ya Waziri wa Fedha na Uchumi, Dr Mpango kuingilia katina kusisitiza sheria zitafuatwa hivyo mnada utaendelea kea mujibu wa sheria za KODI zilizopo.

Swali lililo mbele yetu; Je mteuzi mkuu atakuwa upande wa Sheria hivyo kuungana na Dr Mpango? Je, atakuwa upande wa asiyetaka kufuata sheria?

Sote tuwe watazamaji tusubiri hii picha tuone mhanga atakuwa RC Makonda ama Dr Mpango? Huu ni mtihani mzito kwa mamlaka ya uteuzi na pia watz wanatamani kujua utekelezaji wa utawala bora pasipo kujali dini, itikadi ya kisiasa na kabila.

Tukae mkao wa kula, yajayo yatatoa taswira ya uongozi uliopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka kamgeuka dogo hataki kuingilia kati kupiga kifua sio amesahau kuwa wale jamaa kuwaleta ilifanyika jitihada sasa naona amechoka hapo tutamtoa nayeye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhe. Waziri Mpango ni vizuri ajiuzulu tu,ameshindwa kutumia busara katika hili la makontena.
 
Countdown ya DAB hhyooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…