[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mhe. Waziri Mpango ni vizuri ajiuzulu tu,ameshindwa kutumia busara katika hili la makontena.
😳😳Makonda ataibuka kidedea
😀😀Mhe. Waziri Mpango ni vizuri ajiuzulu tu,ameshindwa kutumia busara katika hili la makontena.
Hoja muhimu hii.Kosa la Makonda mwenyewe kuandika jina lake binafsi na kwa kweli kama angesamehewa angeyapeleka kwake na wala asingekuwa na makosa ni mali yake next time mkichanga lazima mjue mnachangia taasisi gani
Atamtumia wasiojulikana endapo atakataa kukabidhi mzigo DAB baada ya kuunua toka TRAYaani ukurupuke huko ukanunue mzigo wa billion mbili Kwa Mnada unadhan TRA Na Immigration watakutazama tu?
Hapa najikumbusha kiji sheria cha 'Money laundering'
Makonda anaposema 'Mungu atawalaani ' watakaonunua Mzigo ule anamaanisha Kweli Kweli lakin onyo Hilo linawahusu wenye akili tu!
Hizo busara ndio zimetufikisha hapa ....atumie tu sheria hata kama jambo halitaonekana la busara maana mwongozo ndio upo hivyo kwamba bidhaa iliyoagizwa haina msamaha wa kodi hivyo watekeleze kwanza sheria ili kama itaonekana ni chungu wafanye mabadilikoMhe. Waziri Mpango ni vizuri ajiuzulu tu,ameshindwa kutumia busara katika hili la makontena.
Ndugu naona umechukua na hauna dalili ya kuuachia Uongozi wa watu WAJINGA wa mtaa wenu wa Lumumba.Mhe. Waziri Mpango ni vizuri ajiuzulu tu,ameshindwa kutumia busara katika hili la makontena.
kumbe makonda jeshi lake kubwa sana humu jf eeee !! nawahesabu wewe ni wa 12 !Mhe. Waziri Mpango ni vizuri ajiuzulu tu,ameshindwa kutumia busara katika hili la makontena.
busara gani zaidi ya sheria?Mhe. Waziri Mpango ni vizuri ajiuzulu tu,ameshindwa kutumia busara katika hili la makontena.
Ni vizuri wangezikabizi wizara ya Elimu.Hizo busara ndio zimetufikisha hapa ....atumie tu sheria hata kama jambo halitaonekana la busara maana mwongozo ndio upo hivyo kwamba bidhaa iliyoagizwa haina msamaha wa kodi hivyo watekeleze kwanza sheria ili kama itaonekana ni chungu wafanye mabadiliko