DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Yaani ukurupuke huko ukanunue mzigo wa billion mbili Kwa Mnada unadhan TRA Na Immigration watakutazama tu?

Hapa najikumbusha kiji sheria cha 'Money laundering'

Makonda anaposema 'Mungu atawalaani ' watakaonunua Mzigo ule anamaanisha Kweli Kweli lakin onyo Hilo linawahusu wenye akili tu!
 
Kosa la Makonda mwenyewe kuandika jina lake binafsi na kwa kweli kama angesamehewa angeyapeleka kwake na wala asingekuwa na makosa ni mali yake next time mkichanga lazima mjue mnachangia taasisi gani
Hoja muhimu hii.
 
Yaani ukurupuke huko ukanunue mzigo wa billion mbili Kwa Mnada unadhan TRA Na Immigration watakutazama tu?

Hapa najikumbusha kiji sheria cha 'Money laundering'

Makonda anaposema 'Mungu atawalaani ' watakaonunua Mzigo ule anamaanisha Kweli Kweli lakin onyo Hilo linawahusu wenye akili tu!
Atamtumia wasiojulikana endapo atakataa kukabidhi mzigo DAB baada ya kuunua toka TRA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhe. Waziri Mpango ni vizuri ajiuzulu tu,ameshindwa kutumia busara katika hili la makontena.
Hizo busara ndio zimetufikisha hapa ....atumie tu sheria hata kama jambo halitaonekana la busara maana mwongozo ndio upo hivyo kwamba bidhaa iliyoagizwa haina msamaha wa kodi hivyo watekeleze kwanza sheria ili kama itaonekana ni chungu wafanye mabadiliko
 
Ni vizuri wangezikabizi wizara ya Elimu.
 
Kwa mara ya kwanza Dr Mpango ataibuka mshindi kwa hili

Time will tell
 
Back
Top Bottom