themghost
Member
- Nov 6, 2014
- 38
- 9
kabisa kabisa mkuuSafi sana ! Sheria lazima ibaki kuwa msumeno ! Hakuna cha mswali mtume wala nini ! Piga mnada tuu !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa kabisa mkuuSafi sana ! Sheria lazima ibaki kuwa msumeno ! Hakuna cha mswali mtume wala nini ! Piga mnada tuu !
Mungu hawezi changamana na ujinga huu,Dua halijafika bado
Dah huu mjadara wa RC makonda na mh mpango mbona siulewi kabisa , aliyemteua rc makonda kuwa Rc ni nani ?? Na aliyemteua Dr mpango kuwa wazir wa fedha nani???! Kama aliyewateuwa ni MTU mmoja basi huyo ndo kusema hivyo vifaa visamehewe au vitozwe kodi , ikiwa Rc makonda anawalaumu anaowaita " wanamkwamisha " na Dr mpango pia anamlaumu RC makonda kwa vijembe basi warudi kwa aliyewateuwa tu hizi movie za kama kuna mwajiri wa makonda tofauti na mwajir wa Dr mpango basi acha movie iendeleee tu ???
Hii ndo comment bora katika uzi huu.Tatizo ni kuwa ukimuondoa Bashite, na yeye ataondoa ulinzi Wa Gambush pale Magogoni.
Lakini pia kwa mambo ya mkulu aliyoyafanikisha ni ngumu kumuondoa
Hoja ya kipuuzi kabisa....huyu ni binadamu kama wewe tuu, so he is bound to make mistakes and wrong decisions, it is human nature. Ndiyo maana majuzi aliwaita wastaafu wamshauri.... Wakamshauri, so hata huku mtaani watu hawawezi kuona mambo yanaharibika wasiseme, hata kama ataukataa huo ushauri.Jibu ni hajawahi kumbeba kabisa ila hapendi kufundishwa what to do! Actually yuko sahihi! He is the one responsible for everything in this Country. Tukifa na njaa ni yeye, tukitajirika kama Nchi ni yeye, Tukiwa wezi ni yeye, na hata tukiogopa rushwa ni heye. Yaani ni kila kitu. Sasa ukiamua kumfundisha fanya hivi or fanya vile basi wewe utakiwa wa ajabu maana hakuna mtu atakaekufahamu hata mambo yakienda hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana mwisho wa comment yangu nikajiulize
Nani huyo
Una uhakika kuwa vile ni vifaa vya msaada? Fikiria kabla ya kuandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wale.... Soma mada uielewe KwanzaaTanzania cjui nani katuroga, huko vijijini watoto wanakaa chini si angalau wameletewa viti hivi wasome
Endeleasijakuelewa
ombea watoto wako yasiwapate mkuu!!! au hauna mtoto...( note somehwere dwn) chuki zako usizipeleke kwenye uumbaji