DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Usichanganye Mambo Ndugu.
Issue ya Mheshimiwa Rais kumbeba Makonda, ni kuhusu Kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wakati anatumia Jina Fake, huku akigubikwa na kashfa za kugushi vyeti n.k

Kwa maoni ya wengi ni kwamba, Makonda hana sifa za kuwa Mkuu wa Mkoa.

Sasa kwenye hili la Makonda, anaendelea kumbeba pia. sababu anaendelea vipi kumuacha kuwa mkuu wa mkoa mtu ambaye ni Mkwepa kodi.
 
Atoe sehemu ya Kaisari kama Mungu anavyoelekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah huu mjadara wa RC makonda na mh mpango mbona siulewi kabisa , aliyemteua rc makonda kuwa Rc ni nani ?? Na aliyemteua Dr mpango kuwa wazir wa fedha nani???! Kama aliyewateuwa ni MTU mmoja basi huyo ndo kusema hivyo vifaa visamehewe au vitozwe kodi , ikiwa Rc makonda anawalaumu anaowaita " wanamkwamisha " na Dr mpango pia anamlaumu RC makonda kwa vijembe basi warudi kwa aliyewateuwa tu hizi movie za kama kuna mwajiri wa makonda tofauti na mwajir wa Dr mpango basi acha movie iendeleee tu ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja ya kipuuzi kabisa....huyu ni binadamu kama wewe tuu, so he is bound to make mistakes and wrong decisions, it is human nature. Ndiyo maana majuzi aliwaita wastaafu wamshauri.... Wakamshauri, so hata huku mtaani watu hawawezi kuona mambo yanaharibika wasiseme, hata kama ataukataa huo ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…