DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Inaelekea kashaingiza vitu vingi ila hichi kabambwa
 
Hapa Kuna Kamchezo Tunachezewa na Hawa Vingozi Wawili, Hivi Huko bungeni Kuna Mjadala gani? Unaendelea Isije Ikawa ni yale Ya Samaki Na Rula Ktk Bunge la Bajeti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kijana alibahatika kupendwa na mheshimiwa rais angelitulia akajifunza na kufanya vizuri bila kurupu kurupu angeenda mbali zaidi lakini kutokana upeo wake mdogo na majigambo sasa yuko mlango wa kutokea tena wa uwani ! Pole zake !
 
mbona kama una suluhisho tayari unauliza swali ambalo we tayari una majibu,mi siongezi kitu
 
Wasiwasi wangu vilivyokuja vilishachukuliwa vilivyopo nivingine, hili ninaliamini 78%.
Haiwezekani muda wote wawe wanasubiri kusamehewa kitu kisichosameheka na wasitafute plan b.
unachosema kinawezekana kabisa
 
Yetu macho wenye Tanzania yao ndio hao wanaiibia nchi vichekesho😂😂😂😂👟👟👟👟👟👟👟👟👟👟👟👟👟🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈
 
Hatimae wanunuzi wamegoma thank you god,ngoja sasa wayagawe mashuleni.
 
wa kikabila? kikabda? au ....... makizia mana unamjua vizuri lete habri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…