The Crushing
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 569
- 903
sijui kwann huyu jamaa mission zake huwa zinafail
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamu wa inji hiiMwacheni kijana wa watu. Mbona mnamsakama kila upande?? Umeshaambiwa aliomba msamaha wa kodi kwa yote 36 lakini yaliyokwama ni hayo 20. Mnataka hata myaone na vyote vilivyokuwemo ndani. Acheni naye ajilambie huu utamu wa hili li inji.
Utamu wa inji hii
Inji hii hatari in mrema voiceSasa hayo 16 yaliyotoka why hatujaona akisambanza hivyo vifaa mashuleni?Na anavyopenda sifa lazima angesambaza hivyo vifaa kwa kusindikizwa na mlolongo wa media,nchi hii full of differences.
Nyunga za kulevya ama?Humo ndani haiyumkini yamejaa nyunga.
Umejuaje mkuu!?Nyunga za kulevya ama?
Mi sisemi mengiUmejuaje mkuu!?
HahahaLabda tuulize ni shule ngapi zimeshapata mgawo
Unasema kodi?? WashahepaOh aisee wamesha kwepa???
Hatariii
Tuishie hapa mkuu!Mi sisemi mengi
Kwani si ni msaada ama mi ndo sielewiTuishie hapa mkuu!
Kwa umri wake jumlishajumlisha muda wa utumishi wake kuagiza makontena 36!! Yaliyosheheni mzigo kwa kweli mahesabu yanakataa.