DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Mwacheni kijana wa watu. Mbona mnamsakama kila upande?? Umeshaambiwa aliomba msamaha wa kodi kwa yote 36 lakini yaliyokwama ni hayo 20. Mnataka hata myaone na vyote vilivyokuwemo ndani. Acheni naye ajilambie huu utamu wa hili li inji.
Utamu wa inji hii
 
Kumbe Ni tetesi?
Ngoja nihifadhi kauli zangu maana mwisho watu watakana mabandiko yao ktk hili jukwaa
 
Tuishie hapa mkuu!
Kwa umri wake jumlishajumlisha muda wa utumishi wake kuagiza makontena 36!! Yaliyosheheni mzigo kwa kweli mahesabu yanakataa.
Kwani si ni msaada ama mi ndo sielewi
 
Back
Top Bottom