DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Mwacheni kijana wa watu. Mbona mnamsakama kila upande?? Umeshaambiwa aliomba msamaha wa kodi kwa yote 36 lakini yaliyokwama ni hayo 20. Mnataka hata myaone na vyote vilivyokuwemo ndani. Acheni naye ajilambie huu utamu wa hili li inji.
Utamu wa inji hii
 
Sasa hayo 16 yaliyotoka why hatujaona akisambanza hivyo vifaa mashuleni?Na anavyopenda sifa lazima angesambaza hivyo vifaa kwa kusindikizwa na mlolongo wa media,nchi hii full of differences.
 
Kumbe Ni tetesi?
Ngoja nihifadhi kauli zangu maana mwisho watu watakana mabandiko yao ktk hili jukwaa
 
Tuishie hapa mkuu!
Kwa umri wake jumlishajumlisha muda wa utumishi wake kuagiza makontena 36!! Yaliyosheheni mzigo kwa kweli mahesabu yanakataa.
Kwani si ni msaada ama mi ndo sielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…