Msaada amepewa makonda!!Kwani si ni msaada ama mi ndo sielewi
Hizo ni nguvu za dua mbaya za watanzania na nguvu ya albadirisijui kwann huyu jamaa mission zake huwa zinafail
Akilijibu hili walakini wa taalumaLabda tuulize ni shule ngapi zimeshapata mgawo
Makontena haya makontena hayaAkilijibu hili walakini wa taaluma
yake utapungua kwa % fulani
Siku akipigwa chini tutafurahi
nasubiri jibuLabda tuulize ni shule ngapi zimeshapata mgawo
Kumbe dahRais anajua yako wapi hata usalama wanajua ila sijui jamaa kawafanyaje wako kimyaaa
sijui kwann huyu jamaa mission zake huwa zinafail
Nchi hii kuna watu wana wivu kama mashetani!
Hoteli yake inakuhusu nini wewe?! Hata mahakamani busara hutumika badala ya sheria au kanuni! Kama kuna samani zake binafsi zimo ndani ya makonteina kwa nini mamlaka haziweki wazi?!
Upumbavu mtupu!!!
Enzi za kikwete watu tlisema ni vya missada mtu anatoa misaada kidogo harafu mali kubwa inaingia nchini na kuuzwa . Undahni TRA na serikali hawajui??MBONA MIKOPO YA MIRADI YA SERIKALI YA WORLD BENK MBONA HUWA INALIPIWA KODI NA SERIKALI WAKATI SERIKALI NI HIYOHIYO.
We habari za hayo makontena 16 au 36 umemsikia nani?Najua wengi ni wana intelligence,
Hebu weka tetesi yeyote uliyosikia kuhusu makontena 16 yaliyofanikiwa kutoka Bandarini, yalilipiwa na nani na yako wapi,
Mi naweka tetesi yangu nasikia bado hayajafika bandarini na anataka yatolewe na GSM,
Tetesi ya pili wanasema yamepelekwa mwanza kwenye hoteli ya mtu maarufu,
Je we umepata tetesi gani huko??
Mimi nilivyosikia ni kwamba yale 16 yalilipiwa ushuru wote..nakumbuka hili lilishasemwa mahala kama sikosei na Kayombo wa TRA..Tetesi mi kwamba yalikuwa makontena 36 akapewa msamaha contena 16 yakabaki 20 ndoanadaiwa alipe lkn na zenyewe anataka ayachomoe biree
Sent using Jamii Forums mobile app