DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

MakoUOTE="britanicca, post: 28156673, member: 290488"]Kwani si ni msaada ama mi ndo sielewi[/QUOTE]
Kwani si ni msaada ama mi ndo sielewi
Msaada amepewa makonda!!
Si ndio kununuliwa huku jamani!
 
Tutamuona tena kanisani analia huku kakumbatiwa na padre na kupapaswa makalio. Ya Makonda anayajuwa mwenyewe yule dogo.
 
Nchi hii kuna watu wana wivu kama mashetani!

Hoteli yake inakuhusu nini wewe?! Hata mahakamani busara hutumika badala ya sheria au kanuni! Kama kuna samani zake binafsi zimo ndani ya makonteina kwa nini mamlaka haziweki wazi?!

Upumbavu mtupu!!!
 
MBONA MIKOPO YA MIRADI YA SERIKALI YA WORLD BENK MBONA HUWA INALIPIWA KODI NA SERIKALI WAKATI SERIKALI NI HIYOHIYO.

Enzi za kikwete watu tlisema ni vya missada mtu anatoa misaada kidogo harafu mali kubwa inaingia nchini na kuuzwa . Undahni TRA na serikali hawajui??
 
Najua wengi ni wana intelligence,

Hebu weka tetesi yeyote uliyosikia kuhusu makontena 16 yaliyofanikiwa kutoka Bandarini, yalilipiwa na nani na yako wapi,

Mi naweka tetesi yangu nasikia bado hayajafika bandarini na anataka yatolewe na GSM,

Tetesi ya pili wanasema yamepelekwa mwanza kwenye hoteli ya mtu maarufu,

Je we umepata tetesi gani huko??
We habari za hayo makontena 16 au 36 umemsikia nani?
Manake habari zilizopo kwa sasa ni Makontena 20
 
Tetesi mi kwamba yalikuwa makontena 36 akapewa msamaha contena 16 yakabaki 20 ndoanadaiwa alipe lkn na zenyewe anataka ayachomoe biree

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilivyosikia ni kwamba yale 16 yalilipiwa ushuru wote..nakumbuka hili lilishasemwa mahala kama sikosei na Kayombo wa TRA..
Ila yalipopelekwa baada ya kutolewa anajua Bashite na jamaa yake Le Mutuz..!!
Na ukitaka kujua kwamba hapa kuna mchezo mchafu, hizi kontena 16 zilizotolewa HAWAZISEMI KABISA Wapo zilipo na kama kweli ni vifaa vya ofisi za walimu vipo wapi kwa sasa.
 
Mako bhana...game LA pasi fupi anachezesha pasi ndefu..

Hana tofauti na Kocha wa ZAMANI wa Arsenal...Wenger

Hili game lake hata Yanga wangeshinda[emoji15]
 
Back
Top Bottom