Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,067
Hapa Makonda anapigwa chini-Musiba ni voice ya Jiwe.
Sorry, zaidi ya 800...
Povu la nini?Nchi hii kuna watu wana wivu kama mashetani!
Hoteli yake inakuhusu nini wewe?! Hata mahakamani busara hutumika badala ya sheria au kanuni! Kama kuna samani zake binafsi zimo ndani ya makonteina kwa nini mamlaka haziweki wazi?!
Upumbavu mtupu!!!
Dili limezanukiwa, kumbuka huyu utingo alisema anaenda kumwambia Baba juu ya haya "macolabo" then Mpango akaibuka, leo Musiba...nani yupo nyuma ya Musiba..?!Hapa Makonda anapigwa chini-Musiba ni voice ya Jiwe.
Lakini swali nji je,mzigo huo wote ni wa Makonda pekee?
Akili ya kuambiwa,.........
Acheni kumsingizia mzee wa watuIngekuwa kipindi cha Kikwete yangepita bila tatizo.
Upo sahihiAcheni kumsingizia mzee wa watu
Ndio awamu yake ilikua na rushwa ila not to that extent
Na kwa taarifa yako tu na wengine ambao hamjui, awamu hii ina upigaji kama wa jk tena a zaidi sema saivi its a 2 men show
Naishia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Baraza la Mawziri kupanguliwa hivi karibuni....kuna tetesi kwamba atatimuliwa kesho asubuhi .
Ni kweli elimu si kila kitu bali akili, kama ulivyosema hapo. Lakini ukweli ni kwamba kilichomcost Bashite katika hili ni kitendo cha watumishi wenye vyeti feki kutumbuliwa halafu yeye akaachwa, wakati inatambulika wazi kabisa kuwa ni kinyume cha sheria KWA MTU YEYOTE kufoji cheti chochote.Mimi kiukweli nipo hivi… .
Nilifundishwa kupenda maendeleo na wazaz wangu hvyo pia napenda mtu anayependa maendeleo…
Makonda amekuwa mpenda mwendeleo pamoja shutuma kibao lakini anapambana watu tumekalia maneno tu kumsema… ..
tufike mahali tuwe wakweli elimu sio kila kitu ila akili ndio kila kitu… ..
Nchi yetu inaponzwa na siasa za ubaguzi yaani tunaangalia nani kafanya na yupo upande upi upuuzi mtupu tufike mahali tuache siasa kwenye maendeleo… ..
Yaani hakuna kitu kinanikera humu kama hicho eti nimewahi nafasi tuu.Nafasi ya 2 hapa na nimeweka koti langu kabisa, nataka nikachimbe dawa
Sent using Jamii Forums mobile app