DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Nchi hii kuna watu wana wivu kama mashetani!

Hoteli yake inakuhusu nini wewe?! Hata mahakamani busara hutumika badala ya sheria au kanuni! Kama kuna samani zake binafsi zimo ndani ya makonteina kwa nini mamlaka haziweki wazi?!

Upumbavu mtupu!!!
Povu la nini?
Msaidie basi kulipa kodi!
 
Hapa Makonda anapigwa chini-Musiba ni voice ya Jiwe.


Lakini swali nji je,mzigo huo wote ni wa Makonda pekee?

Akili ya kuambiwa,.........
Dili limezanukiwa, kumbuka huyu utingo alisema anaenda kumwambia Baba juu ya haya "macolabo" then Mpango akaibuka, leo Musiba...nani yupo nyuma ya Musiba..?!
Anaandaliwa kurithi jiji pengine??!?
 
Mimi kiukweli nipo hivi… .

Nilifundishwa kupenda maendeleo na wazaz wangu hvyo pia napenda mtu anayependa maendeleo…

Makonda amekuwa mpenda mwendeleo pamoja shutuma kibao lakini anapambana watu tumekalia maneno tu kumsema… ..

tufike mahali tuwe wakweli elimu sio kila kitu ila akili ndio kila kitu… ..

Nchi yetu inaponzwa na siasa za ubaguzi yaani tunaangalia nani kafanya na yupo upande upi upuuzi mtupu tufike mahali tuache siasa kwenye maendeleo… ..
Ni kweli elimu si kila kitu bali akili, kama ulivyosema hapo. Lakini ukweli ni kwamba kilichomcost Bashite katika hili ni kitendo cha watumishi wenye vyeti feki kutumbuliwa halafu yeye akaachwa, wakati inatambulika wazi kabisa kuwa ni kinyume cha sheria KWA MTU YEYOTE kufoji cheti chochote.

Hata hao waliotumbuliwa walikuwa na akili, wengine wakimzidi hata yeye kwa mbali tu. Kitendo hicho cha utumbuaji wa kibaguzi kinamsababishia magumu ambayo atakumbana nayo hadi siku ya anguko lake, ama siku walioondoshwa wakirudishwa kazini.

Binafsi siwalaumu watz katika hilo. Wa kulaumiwa ni yeye na bosi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sipati picha kule instagram. lemutuz lazima na yeye atarudi na mfululizo wa matamko ya kumsafisha boss wake(daud bashite)

uzuri wa hii drama kila upande una mpambe wake wake wa kurusha maneno.

ila mwisho wa siku lazima kuna upande utapata hasara.
 
Back
Top Bottom