DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Ajiandae tu kufunga milango ila sasa namhurumia maana kila kona mitego na akifungasha vilago familia zote anazolea lazima ziyumbe.

Amaa kweli kila nafsi itaonja mauti ya ccm ni suala la muda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mithali. 26:2 (SUV)

"Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu."


Sent using Mikoyan MiG-29
 
Nasimama penye ukweli tunahitaji pesa kwa ajili ya kujenga reli

Nashangaa sana kuona kwenye gazeti la jana kuwa serikali imekwenda kukopa fedha kwenye benki ya Standard Chartered matrllion ya shilling kwa jailli ya ujenzi wa reli ilihali Magufuli alituhakikishia kuwa nchi ina fedha za kutosha kuweza kujenga reli ya standard gauge bila kutegemea fedha toka nje!!! Hizo fedha alizosema tunazo zakuweza kujengea reli zimeyeyukia wapi?
 
Sifa nyingi na politik tu hakuna fedha serikalini kutokana na fedha nyingi kwenda kwenye miradi mikibwa kama ununuzi wa ndege na kulipa madeni ya kimataifa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hii habari ya mnada wa makontena bandarini dsm.
Kuna makontena zaidi ya 80,kulingana na taarifa za TRA,
Lakini ukiangalia video za mnada wenyewe, uendeshaji wake, ni dhahiri shahiri kwamba yanayolengwa ni hayohayo 20.
Na ndio yanayofunguliwa na labda moja au mawili tu ya nyongeza toka hiyo ya idadi ya 80s.
My take:
Kuna mkakati gani juu ya hili?
Au ndio muungano wa mafidhuli wanaoumizwa na utendaji wa makonda?
Au ndio nguvu ya wale ma Cartel!
Haya yetu macho tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti wanasema kuna matrector ahahahahah bongo bwana kwa maneno

hata kama makonda anayo makosa yake lakini upotoshaji unatuponza bongo

sometime habari inaweza kuwa ya kweli lakin ikavurugwa na watu kwa masilahi yao binafsi.............
 
Hii muvi imetengenezwa ili kuepusha watu wasijadili mambo ya acacia wanavyokwenda kutupiga, na kwa kuwa wengi wetu sio watu critical, tumehamia wote kwenye haya mambo ya makontena. Mwisho wa siku kelele, zitakwisha na Bashite ataendelea kula bata. wazungu wa acacia wataendelea kutumia udhaifu wa jiwe kwenye kufanya maamuzi kutupiga. Kweli wajinga ndio waliwao...
 
Hii muvi imetengenezwa ili kuepusha watu wasijadili mambo ya acacia wanavyokwenda kutupiga, na kwa kuwa wengi wetu sio watu critical, tumehamia wote kwenye haya mambo ya makontena. Mwisho wa siku kelele, zitakwisha na Bashite ataendelea kula bata. wazungu wa acacia wataendelea kutumia udhaifu wa jiwe kwenye kufanya maamuzi kutupiga. Kweli wajinga ndio waliwao...
Fact!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#MwananchiNukuu Wengine hugawa watu katika mafungu. Mtu fulani akifanya kosa hata liwe kubwa, hasemwi lakini mwingine akifanya kosa japo dogo hukuzwa likawa kama Mlima Kilimanjaro" Hayati Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere #MwananchiLeo


Sasa huyu bashite kafanya bonge la kosa lakini baba yake anamlinda tu hapo ndo utajua jiwe alivyombaguzi.
"Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, kila mtu atabeba .... mbele za Mungu siku hiyo inakuja ... " Nimekumbuka wimbo wa kwaya kuu Arusha enzi hizo
limewashuka-jpg.856190
 
Back
Top Bottom