Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Ilee laana imetenguliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli waalimu ni watu tunao zaraulika hapa Tz, inaumiza sanaHayo masofa mbona mnayadiss mno
Kwani walimu hawafai kukalia sofa ofisini kwao ?
Mbona ofisi zingine za serikali zina sofa!!!
WALIMU KAMA HAMJUI HAPA MNASIMANGWA TU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mithali. 26:2Unataka wapate laana?
Week imeisha mzee..... Sasa Tutumie ushahidi wa wewe kutembea uchi [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mithali. 26:2
"Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu."
Nasimama penye ukweli tunahitaji pesa kwa ajili ya kujenga reli
Fact!Hii muvi imetengenezwa ili kuepusha watu wasijadili mambo ya acacia wanavyokwenda kutupiga, na kwa kuwa wengi wetu sio watu critical, tumehamia wote kwenye haya mambo ya makontena. Mwisho wa siku kelele, zitakwisha na Bashite ataendelea kula bata. wazungu wa acacia wataendelea kutumia udhaifu wa jiwe kwenye kufanya maamuzi kutupiga. Kweli wajinga ndio waliwao...
"Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, kila mtu atabeba .... mbele za Mungu siku hiyo inakuja ... " Nimekumbuka wimbo wa kwaya kuu Arusha enzi hizo#MwananchiNukuu Wengine hugawa watu katika mafungu. Mtu fulani akifanya kosa hata liwe kubwa, hasemwi lakini mwingine akifanya kosa japo dogo hukuzwa likawa kama Mlima Kilimanjaro" Hayati Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere #MwananchiLeo
Sasa huyu bashite kafanya bonge la kosa lakini baba yake anamlinda tu hapo ndo utajua jiwe alivyombaguzi.
wangeiga utapeli[emoji90]Ilitakiwa waanze kukalia wa Dar.... Wengine wangeiga uthubutu na ubunifu[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app