DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Yapigwe mnada tu kwani wakati anaagiza hakujua kuwa kuna kodi atatakiwa kulipa kodi, piga mnada tu kodi ifanye mambo mengine bhana
 
Hakuna aliye juu ya sheria kama alitumika kumg'oa nape safari hii amegonga mwamba atakwenda yeye na vitisho vyake!
Huyu dogo alitaka kutumia nafasi ya ukaribu wake na mh. Rais ili asilipe kodi yaani alitaka makontena yatoke pale bandarini kimya kimya. Inaonesha kabisa hakujipanga kulipa kodi na kwasababu TRA wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi waendelee tu ma process ya kuyapiga mnada.
Imekula kwake vinginevyo alipe kodi. Hakuna aliyejuu ya sheria katika nchii hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAYA MAKONTENA MBONA KAMA MZEE BABA ALISHASEMAGA KWAMBA SIO YAKE
 
Sawa kabisa!
 
Haya mambo ni moto. Twendeni kuchukua vitu kwa bei Rahisi
Makonda:bandari ipo chini ya mkoa wangu
Makonda:tra ipo chini ya mkoa wangu
Makonda:ikulu ipo chini ya mkoa wangu na haya makontena ninaunga juhudi za mh magufuli za elimu bure na mimi nimeomba msaada wa vifaa vya shule kwaajili ya kuboresha elimu ktk mkoa wangu.....
Magufuli:haya makontena ni msaada kwa mkoa wa Dar hivyo yapitishwe bila kodi
 
Hadi sasa Konda hajatumbuliwa kwa kashfa hiyo?🤔🤔
 
Mkuu maombi yako yatakuwa yamesikika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi Mswahili.
Huku kwetu tuna Misemo ya kwetu!
Sikio halizidi Kichwa! Hakuna Marefu yaso Ncha! Muosha Huoshwa!
Mchuma Janga hula na Wakwao!
Mzarau Mwiba!
Ukistahi Mke! Ndugu Huzai nae!
Sikio la kufa haliskii dawa!
Mchimba Kisima huingia Mwenyewe!
Mbu wa Pumbbu hapigwi Kofi!
Mwanzo wa Ngoma ni Le Le Le!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ngoja tusikie jiwe atachukua hatia gano
 
Kuna kipindi ilisemekana ikuwa anaingiza mizigo kwa ajili ya kampuni fulani ambazo zilijibadili majina baada ya JPM kuingia madarakani. Pia kulizuka tetesi jiyo kampuni ilimpa asante ya gari la kifahari sana... Huenda huo mzigo ni wa hiyo kampuni... Ila kijana wa baba hamna shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…