Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnaanza kuchange gia anganiMambo ni moto...Chadema watasema wanafanya maigizo
Nakubaliana kabisa na Wewe! Haiwezekani Mhe. Waziri uende hadharani ukapingane na RC kwa kurejerea magazeti. Hii ni laana! RC yeye kaongea na anayemwamini Kanisani na kaomba kwa atakayenunua alaaniwe na sio Serikali ilaaniwe. Sasa nini kilichomtuma Waziri kulumbana? Ama kweli naamini Vita ya Dawa za kulevya alivyoanzisha RC ni vikubwa.Tehe tehe labda kama hatuhitaji elimu bure
Kila siku Rais anasema kuna viongozi hawamuelewi,wanabishana wao kwa wao kwa ajili ya kazi ya serikali.
Sheria imempa nguvu waziri wa fedha kusamehe kodi kwa kutoa Government notice na kuichapisha katika gazeti la serikali
Mpango anaudanganya moyo wake kwamba hizo container 20 ni za Makonda zikitoka zitaenda kuuzwa congo,huku akili yake inajua kabisa makonda aliomba msaada kwa niaba ya serikali
Watu warasimu kama akina Mpango hawatufai kwa sasa
Huyu jamaa naona AKITUMBULIWA muda si mrefu. Nimesikiliza habari Azam, Dr. Mpango yaonyesha amekasirishwa sana na kauli ya bbMakonda eti atalayenunua hizo samani alaaniwe.
Hivi kwa hiyo HATAKI kulipa kodi na hataki sheria ifuatwe kwa wanaoshindwa lipa kodi? Sidhani kama ana siku nyingi huyu, atafute kazi nyingine mapema sana ya kufanya.
TLP mbele kwa mbeleMbwa kala mbwa
Migambo inaruka na kukanyagana
Hatunywi sumu hatujinyooongiiii
Umetisha Daudi MchambuziKama kungekuwa na laana, Bashite asingekuwepo juu ya uso wa dunia mpaka sasa.
Nakubaliana kabisa na Wewe! Haiwezekani Mhe. Waziri uende hadharani ukapingane na RC kwa kurejerea magazeti. Hii ni laana! RC yeye kaongea na anayemwamini Kanisani na kaomba kwa atakayenunua alaaniwe na sio Serikali ilaaniwe. Sasa nini kilichomtuma Waziri kulumbana? Ama kweli naamini Vita ya Dawa za kulevya alivyoanzisha RC ni vikubwa.
Umempamba Mpango maana ni mnafiki sana! Nadhani kapewa kibali kutoka kwa boss wake au siyo Hazina? ila aache kuonea walio chini yake maana ni wengi kawachinjia bahariniUkiona Dk Mpango anaongea ujue kweli kaumia na maneno ya makonda, mpango hanaga muda mtu yeye ni kazi tu, na makonda anapoharibu asiwe anakimbilia kujificha kwa mungu au makanisani hii kitu ni mbaya sana,nani hamjui mungu? makonda ni mtumishi wa serikali anatakiwa afanye kazi sio biashara.
Apige mnada kimya kimya kwa kumuogopa nani? Embu acheni kumtukuza huyu yy amekuwa nani kwenye nchi hii? Kama amekosea aambiwe live tu hakuna kumuonea haya mtu hapa.That's even worse.
Waziri angemdharau na kunadi tu vitu bila majibizano mengi, kwa sababu wananchi wakiona viongozi wanajibizana, bila kujali ni mtu na taasisi au taasisi na taasisis, na nani kapatia na nani kakosea, ule mzozanotu ni negative energy inayoondoa imani ya wananchi katika serikali.
Sasa hawa watu washatengeneza uadui, kesho wakitakiwa kukaa pamoja kwa manufaa ya umma, badala ya kuanza kazi, itabidi wanze usuluhishi kwanza.
Some schoolyard mentality, sio national leadership.
Natambua Makonda ana makosa, ila nafadhaika sana viongozikuzozana regardless ya nani kakosea.
Viongozi hawatakosa kukosea, ila wakishindwa kumaliza mizozo yao kwenye vikao wakajibizana kwenye vyombo vya habari, hilo linaonesha mapungufu makubwa sana katiak uongozi wetu.
Year100%Hakuna aliye juu ya sheria kama alitumika kumg'oa nape safari hii amegonga mwamba atakwenda yeye na vitisho vyake!
Anunue azipeleke wapi?Dk Mpango angeonesha njia kwa kununua angalau kontena moja kuthibitisha kwamba yeye haogopi vitisho vya kulaaniwa yeye na uzao wake.
Mwisho wa siku hizo fanicha zitaozea hapo bandarini wakose wote!
Ngoja Nile popcornsHii series hii inaonyesha magu kashamchoka Bashite na ndio maana wateuliwa wa magu hawatishiki kwa sasa, na napata uhakika sasa kuwa ni kweli Bashite akili zake hazipo sawasawa maana mara ya kwanza aliyakana hayo makontena kuwa sio yake akaja tena akisema kuwa ni yake na anaomba msamaha wa kodi na sasa anawalaani wanaoyapiga mnada wakati ni yeye mwenyewe mwazo aliyakana kuwa sio yake
Alafu ukimkuta kule insta anavyopost mambo ya kilokole huwezi mshtukia kuwa ni shetani mkubwa huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna niliposemaapige mnadakimyakimya.Apige mnada kimya kimya kwa kumuogopa nani? Embu acheni kumtukuza huyu yy amekuwa nani kwenye nchi hii? Kama amekosea aambiwe live tu hakuna kumuonea haya mtu hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app