papaa MUTOMBO MOBIMBA
Member
- Aug 27, 2018
- 28
- 38
Hili lilifoji vyeti nakukana jina lake halisi sasa unashangaa jangiri kama hili kukana makontena..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria iko wazi. Ameagiza kama makonda anatakiwa alipe kodi km makonda, angeagiza km shirika lisilo la kiserikali au shirika la kiserikali linalohusiana na kutoa misaada kwa jamii lisingetokea swala la kudaiana kodi. So anatakiwa awe mbunifu km alivyokuja watz wamchangie kodi, au lasivyo Diaspora na sisi tuchange ipatikane ila kutoka bila kulipwa pale nadhani itaamsha hisia nyingi kwa wanaolipa kodi bandariniNenda nchi za walizoendelea ambako sheria ni msumeno uone kama utafanya usanii aliofanya makonda halafu upewe makontena bila kulipa kodi.
Kudaiwa kwake means hakufata sheria za msamaha yeye ni nani asilipe kama wengine wanalipa? On top of that it doesn’t seems hayo makontena yana vifaa vya shule tu, kuna zaidi, plus uongo kuwa diaspora wamempa, diaspora ipi? Hii mnayosema wanabeba mabox watoe msaada wa vitu vinavyo worth kodi bil 21?? Gerarahia!
Kuna sheria, fata tu sheria. Usiipige teke sheria ili ujifanyie mambo yako afu ulalamike baadae, sheria inakuelekeza jinsi ya kuingiza misaada nchini, ukienda tofauti usilieTusiangalie nani sababu ya huo msaada.bali tuangalie msaada una faida gani.
kuna watanzania wengi wapo huko ughaibuni wanapenda kuisaidia nchi yao.ila haya masuala ya kodi ndo yanawaumiza.
Haiwezekani MTU atoe msaada alaf umwambie alipe kodi.kwani ni Mali yake?au anakwenda kuuza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitumie hisia mkuu, kila kitu kipo waziLabda huo msaada ungekuja kwa jina la mama samia,au mwenyekiti wa ccm.haya mambo ya kodi tusingeyasikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watanzania waliopo nje wanaopenda ķusaidia wafuate sheria kama hawataki lipa kodi.Tusiangalie nani sababu ya huo msaada.bali tuangalie msaada una faida gani.
kuna watanzania wengi wapo huko ughaibuni wanapenda kuisaidia nchi yao.ila haya masuala ya kodi ndo yanawaumiza.
Haiwezekani MTU atoe msaada alaf umwambie alipe kodi.kwani ni Mali yake?au anakwenda kuuza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tatizo si msaada.BALI NI MAKONDA.Hao watanzania waliopo nje wanaopenda ķusaidia wafuate sheria kama hawataki lipa kodi.
Hili tukio liwe funzo kwao
Utakuwa mwizi tu, kwani hukufuata taratibu wa kisheria wewe ni ndani kwanza week tatu ndo mahakamani, baadae utawekewa dhamana ya hao uliotaka kuwapa hiyo nia njema yako, kwa kifupi ni kufuata sheria zilizopo Kama hazifai tuombe bunge lizibadilisha ili nia njema ziende kisheria. Makonda hoye, shule hoye, Jodi hoye, Mpango hour.serekali inahimiza tusomeshe watoto ili baadae watumie elimu yao kwa ajili yao wenyewe na taifa.
sasa kwa mfano....usiku wa manane nimekwenda pale NBC nikavunja safe ya benki na kupora pesa kwa ajili ya ada ya watoto.... je, sitashitakiwa jinai kwa kuwa tu nia ya uporaji huo ni njema?
nauliza tu.
Misaada ya ARV inakuja kwa shirika la afya. Huwa hailipiwi kodi, sheria ya kuagiza mizigo na bidhaa kutoka nje iko wazi kwenye hilo,Hapa tatizo si msaada.BALI NI MAKONDA.
Misaada ya ARV na NET.uwa inatolewa KODI?
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeuliza kwani sheria zote za nchi hii zinafuatwa?Misaada ya ARV inakuja kwa shirika la afya. Huwa hailipiwi kodi, sheria ya kuagiza mizigo na bidhaa kutoka nje iko wazi kwenye hilo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa zinapitia sehemu husika(taasisi) na sio mtu binafsiHapa tatizo si msaada.BALI NI MAKONDA.
Misaada ya ARV na NET.uwa inatolewa KODI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa wewe kweli ni mbunifu utapiga hela sana! maana kuna mabongo lala wengiMm nina uwezo wa kuloga yeyote atakayenunua asiweze kutumia hata kimoja. Anitafute
Fikiria hivi; unaweza kusema basi tuzibe macho hizi zipite maana zimekuja kwa ajili ya msaada, then atatokea mtu km mimi ntakuja na makontena yangu sina kodi ntasema ni misaada pia, utanipitisha au utanikatalia
Hazifuatwi ndo maana kuna mahakama