Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
- Thread starter
- #21
Fungua mitandao ya chama kila kitu mbashara.Mkuu mmefika wapi?
Weka picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungua mitandao ya chama kila kitu mbashara.Mkuu mmefika wapi?
Weka picha
ACT kinapambana sana kuwa chama kikuu cha upinzani. Wakiendelea hivi chini ya miaka mitatu ijayo watakuwa wameshaipiku CHADEMA hasa hii ya sasa.
Maandamano yana nia nzuri sana sema mwamko wa Watanzania ndiyo zero....
View attachment 2591675
Hakuna maandamano hapo. Ni ujinga ujinga tu ushaona wapi Raisi apokee maandamano ya upinzani tena ikulu.Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani.
Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni ili yapokelewe na Rais Samia Suluhu Hassan.
Binafsi Niko mbele na bango langu. Hali ya hewa si rafiki sana hata kuandika ni taabu lakini umma unazidi kujitokeza kuwataja wezi wakamatwe. Karibuni.
Mnataka picha gani wakati maandamano tunafanyia kwenye keyboard za simu na kompyuta?picha tafadhali mkuu
na sisi akina tomaso tulioko huku bariadi tuanze show
Asilia kubwa ni watu kutoka Kigoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi ACT wana vijana kweli ata wa kuandamana?
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Umejificha huko maporini ukitegemea wapinzani wakusaidie kudai haki zako .Ngoja tuone kama wapinzani wa hi nchi watafikia hata theluthi ya wale wa kenya
Mbona hii taarifa hujaituma kwenye mitandao ya chama umeileta hapa Jf.Fungua mitandao ya chama kila kitu mbashara.
NonsenseACT kinapambana sana kuwa chama kikuu cha upinzani. Wakiendelea hivi chini ya miaka mitatu ijayo watakuwa wameshaipiku CHADEMA hasa hii ya sasa.
Maandamano yana nia nzuri sana sema mwamko wa Watanzania ndiyo zero....
View attachment 2591675
Nenda Mzee si ulishaandika urithi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nani kakwambia waandamanaji ni vijana tu. Mimi ni Mzee lakini nimo.
Nakazia✍️✍️✍️Hicho chama hakina mvuto.
Ingekua chama langu polisi wangealika wenzao toka Morogoro.
Watume japo picha za vidole vikiandamana juu ya keyboards.Mnataka picha gani wakati maandamano tunafanyia kwenye keyboard za simu na kompyuta?
Labda wataipiku Chadema ya mwandiga na ujiji huko.ACT kinapambana sana kuwa chama kikuu cha upinzani. Wakiendelea hivi chini ya miaka mitatu ijayo watakuwa wameshaipiku CHADEMA hasa hii ya sasa.
Maandamano yana nia nzuri sana sema mwamko wa Watanzania ndiyo zero....
View attachment 2591675
Chama chenye bendera nyingi kuliko wanachama wake 😄😄ACT wanatania, hawana hata mpango wa kuandamana.
Eti uandamane hadi ikulu,
ACT wafunge barabara
Huu ni utani
Vijana wapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi ACT wana vijana kweli ata wa kuandamana?
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Niko nyuma yako na pajama ya kijivu hapa. 🤣 🤣 🤣 Tusonge mbele mpaka ilipo pochi ya mamaMaandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani.
Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni ili yapokelewe na Rais Samia Suluhu Hassan.
Binafsi Niko mbele na bango langu. Hali ya hewa si rafiki sana hata kuandika ni taabu lakini umma unazidi kujitokeza kuwataja wezi wakamatwe. Karibuni.
Kwani kuna shida?Kigoma iko Marekani,Cuba au Japan?Asilia kubwa ni watu kutoka Kigoma