KERO Dar: Maeneo ya Segerea hadi Kinyerezi hakuna Maji
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu

Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa.

Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu.

Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hatatoki wiki ya 3.

Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba jicho lako lile ya 3 lifelike maeneo haya
Endeleeni kuteseka,mmetaka wenyewe
 
Malalamiko kila kona

Ndg haijalishi unaingia hunu aubhuingii utapata taarifa hii. Uje kwa haraka wananchi wanaumia. Wanateseka, isitoshe mates makubwa yanatukita kinamama na watoto.

Screenshot_20240203_104415_Chrome.jpg

Kiula Kingu. AFISA MTENDAJI MKUU Dawasa

Kuhusu dawasa eneo husika kwa nn wasihamisjwe kuondoa hali mbaya inayowakabili kwa sasa.

Watumishi wa dawasa waondolewe ofisi ni nyingi nchini wapelekwe eneo lingine, kwa kuwa kinyerez hawataeleweka tena, hataaminika tena.

Sisi wamama tunakutana na magumu mengi, na kwa kuwa tumepunguziwa adha hii na mh rais mama samia suluhu HASSAN please wajibukeni kwa wananchi
 
Ndg haijalishi unaingia hunu aubhuingii utapata taarifa hii. Uje kwa haraka wananchi wanaumia. Wanateseka, isitoshe mates makubwa yanatukita kinamama na watoto.

View attachment 2892713
Kiula Kingu. AFISA MTENDAJI MKUU Dawasa

Kuhusu dawasa eneo husika kwa nn wasihamisjwe kuondoa hali mbaya inayowakabili kwa sasa.

Watumishi wa dawasa waondolewe ofisi ni nyingi nchini wapelekwe eneo lingine, kwa kuwa kinyerez hawataeleweka tena, hataaminika tena.

Sisi wamama tunakutana na magumu mengi, na kwa kuwa tumepunguziwa adha hii na mh rais mama samia suluhu HASSAN please wajibukeni kwa wananchi
Kumbe ndio huyu
 
Hakuna maji na mafuriko yanaua watu,hii nchi hii jameni haiishi vituko
 
Maji yakiwa mengi, hayahitaji pump. Yanamsukumo natural.

Hapa kuna mambo yanafanyika, pumps hiyo inafanyalakazi wakat wa kiangazi, kwa nn mvua kibao maji hayatoki??

Yanatokaje kiangaz kipind hiki yasitoke, etc msukumo mdg, fake engineer
Hii physics ya wapi babu!?
 
Huo ukanda tatizo la maji ni sugu
 
Mkuu uko sahihi,
Wauza maji kwa malori Wanatoa cash kila siku ili maji yaendelee kuwa Shida Pande za Kimara, Bonyokwa,Kinyerezi TAKUKURU amkeni.
Vijana wanaofungulia maji kwa sasa wako kwenye mavuno makubwa. Kuna hujuma ili kumdhoofisha mtu, sasa watakaoumia ni Walalahoi.
Mtanikumbuka na sio kwa mabaya, watanzania mmezoea kuwakumbuka watu wakisha kufa
 
Back
Top Bottom