Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Ya magari au sioNna mtu yuko Dawasa pale alichoniambia, niko hoiii, maji watayasikia redioni, acha watu wavune maokoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya magari au sioNna mtu yuko Dawasa pale alichoniambia, niko hoiii, maji watayasikia redioni, acha watu wavune maokoto.
Endeleeni kuteseka,mmetaka wenyeweMkuu
Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa.
Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu.
Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hatatoki wiki ya 3.
Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba jicho lako lile ya 3 lifelike maeneo haya
Tumetaka nnEndeleeni kuteseka,mmetaka wenyewe
Kumbe ndio huyuNdg haijalishi unaingia hunu aubhuingii utapata taarifa hii. Uje kwa haraka wananchi wanaumia. Wanateseka, isitoshe mates makubwa yanatukita kinamama na watoto.
View attachment 2892713
Kiula Kingu. AFISA MTENDAJI MKUU Dawasa
Kuhusu dawasa eneo husika kwa nn wasihamisjwe kuondoa hali mbaya inayowakabili kwa sasa.
Watumishi wa dawasa waondolewe ofisi ni nyingi nchini wapelekwe eneo lingine, kwa kuwa kinyerez hawataeleweka tena, hataaminika tena.
Sisi wamama tunakutana na magumu mengi, na kwa kuwa tumepunguziwa adha hii na mh rais mama samia suluhu HASSAN please wajibukeni kwa wananchi
Kweli mpe majiAnaonyesha machungu ya kukosa maji! Mwanamke mnyime vyote lakini mpe maji!
Ilipokua hakuna mvua maji yalikua yanatoka tuNa mvua zote hizi?
Posho tu,kuna nini zaidi ya maokotoTumetaka nn
Haya masuala ya kuwekeana visasi tanatokana na nini.
Siasa
Stress
Mnaumwa
Husuda
Rushwa
Posho
Hasadi
Km kawaaa [emoji23][emoji23][emoji23]Ya magari au sio
Hii physics ya wapi babu!?Maji yakiwa mengi, hayahitaji pump. Yanamsukumo natural.
Hapa kuna mambo yanafanyika, pumps hiyo inafanyalakazi wakat wa kiangazi, kwa nn mvua kibao maji hayatoki??
Yanatokaje kiangaz kipind hiki yasitoke, etc msukumo mdg, fake engineer
Ile ile bibi kwani hujuiHii physics ya wapi babu!?
Kwamba maji ndani ya Bomba yatapanda mlimaIle ile bibi kwani hujui
Kasemaje mkuu... [emoji53][emoji53][emoji53]Nna mtu yuko Dawasa pale alichoniambia, niko hoiii, maji watayasikia redioni, acha watu wavune maokoto.
Mtanikumbuka na sio kwa mabaya, watanzania mmezoea kuwakumbuka watu wakisha kufaMkuu uko sahihi,
Wauza maji kwa malori Wanatoa cash kila siku ili maji yaendelee kuwa Shida Pande za Kimara, Bonyokwa,Kinyerezi TAKUKURU amkeni.
Vijana wanaofungulia maji kwa sasa wako kwenye mavuno makubwa. Kuna hujuma ili kumdhoofisha mtu, sasa watakaoumia ni Walalahoi.