Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge

akili huna
 
Hiyo ni kweli kabisa. Taarifa za ndani ya Chadema zinasema, baada ya akina Halima Mdee na wenzake 18 anafuata Mchungaji Msigwa kufukuzwa chamani. Watabaki wanafukuzana hadi 2025, halafu baada ya uchaguzi utawasikia eti wameibiwa kura!
Msigwa hafukuzwi na mtu. Mtasubiri sana kama mlivyosubiri Mnyika ahamie CCM.

Amandla...
 
oho yeah, i mean kuwavua ubunge
Documents zikifika ofisini kwake wanavuliwa ubunge immediately.

Bunge haliwezi kuwavuwa ubunge kwa taarifa za media, documents zinahitajika kuzifile na maamuzi yanafanyika.
 
Siku tamko la kuwatoa Bungeni likisomwa ndani ya Bunge. Walanchi watapiga makofi kushangilia maamuzi hayo kama walivyopiga makofi maamuzi ya kushangilia hatua ya mti mkavu alivyosema hawezi kuwatoa. Tuna walanchi wa ajabu sana kupata kutokea.
 
Siku tamko la kuwatoa Bungeni likisomwa ndani ya Bunge. Walanchi watapiga makofi kushangilia maamuzi hayo kama walivyopiga makofi maamuzi ya kushangilia hatua ya mti mkavu alivyosema hawezi kuwatoa. Tuna walanchi wa ajabu sana kupata kutokea.
hakuna watu pale
 
Mimi namkumbuka yule dada/mama wa TEMEKE aitwaye Neema Mwakipesile aisee iwapo CHADEMA watatakiwa wapeleke wabunge wapya huyo dada/mama anstahili kuwa namba moja. Alipitia wakati mgumu sana lakini alibaki na msimamo wake.
Sure
 
Inapaswa kuwatizama wale wanao toa maamuzi yasiyo na masilahi kwa Nchi....macho ya umakini yatupiwe ....kuna eaharibifu wamo ndani, hawana nia njema ni wachafuzi na waharibifu.

Maamuzi kama haya hayana chembe ya uzalendo hata kidogo, yana nia ya kuharibu zaidi kuliko kujenga.
 
ngoja tuendelee kukusanya ushahidi
Stroke unakumbuka hii:-

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…