Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge

Na isiishie hapo tu. Jinai iliyowaingiza bungeni kimagumashi lazima ifanyiwe kazi pia ili wale wote waliohusika wajibu tuhuma na kuwajibishwa.
 
Duuh Msala mkubwa, ndio maana katika firms kuna watu special wa kuandaa documents za kwenda kule pamoja Mahakama ya rufaa pia.
 
Nini hatma yao sasa baada ya haya maamuzi, manguli wa sheria mtusaidie cc Mayala et al
 
Ndo warudi majimboni watuambie wao walishinda uchaguzi gan, walitumia vigezo gan ghafla tu kuteuliwa na walioko madarakani bila ridhaa ya viongozi wao wa chama
 
Pascal Mayalla naomba uje utoe neno ama uandike uzi hapa. Utuambie sisi mbumbumbu wa sheria na upeo mdogo wa uchambuzi kwamba ;- maamuzi haya ya mahakama yana hatma gani kwa akina Halima Mdee na Chadema?
Possible answers- KARMA and VOICES FROM WITHIN. 😁 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…