Dar: Mahakama ya Kisutu yajiweka kando kutoa uamuzi kesi ya Dkt. Slaa, Hakimu adai anafungwa mikono na Rufaa ya Jamhuri

Dar: Mahakama ya Kisutu yajiweka kando kutoa uamuzi kesi ya Dkt. Slaa, Hakimu adai anafungwa mikono na Rufaa ya Jamhuri

Kitu unachofanya ni kukiri kuwa mahakama zinafanya kazi kwa kukomoa na siyo kufuata sheria. Na hii inazidi kudhihirisha kuwa mwafrika (mtu mweusi) hajafikia level ya kujiongoza mwenyewe kama walivyokuwa wanasema wakoloni. Haiwezekani serikali iingie kwenye mchezo wa kukomoa badala ya kuongoza. Na zaidi tuna rais shangingi asiyejua ABC za uongozi. Madhara ya huu ujinga yatakwenda mbali na yatawapata watu wote bila kujali dini, jinsia wala chama.
Dawa ya moto ni moto!! Zile kauli Za Slaa zilikua Za uuaji kwa Mbowe! Wacha anywee kikombe alichojiandalia…….. ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
 
Kuna uamuzi wa mahakama kuu ndio umekatiwa rufaa

Sheria za kijinga jinga na kichawa. Hivi wakichafuta au kutupa hii case ambayo tunajua ndiyo itakuwa watamlipia fidia zake. Maana sasa dawa ni kuwashitaki walipe fidia ndiyo huu ujinga utaacha
 
Natamani sana niwe nyapara nikamfanyizie ikiwezekana nimpenyezee kijinga cha moto
Vikwazo vya kiuchumi na vya kusafiri Kwa Ndugu wa baadhi ya viongozi, huanza pole pole ili watu waishi kwa kufuata Sheria , hawaingili Mahakama zenu, Bali wanaonyesha kuchukizwa na tabia ambazo haziendani na utu.
 
Binadamu akizeeka ni kawaida sana kuwa muongomuongo.....
Ndio humo tumepata, "Fasihi Simulizi".........
 
Narudia tena,, japo sifurahishwi na mwenendo wa hili shauri jinsi wanavyokandamiza haki za binadamu lakini huyu mzee ni mnafiki sana.

Huyu dingi alipopewa mrija wa kula pesa za CCM aligeuka nyoka kabisa na kuwakandamiza sana wenzake ingali anajua hali halisi sababu alikuwa upinzani.

Kwangu mimi sihitaji kumtetea huyu mzee hakutenda haki wakati akina Mbowe wanatuhumuwa kimakusudi kuhusu ugaidi huyu nyoka alidiriki kuita hadi press ili aongee upuuzi tu.

Mchumia majanga hula na wa kwao.
 
Dawa ya moto ni moto!! Zile kauli Za Slaa zilikua Za uuaji kwa Mbowe! Wacha anywee kikombe alichojiandalia…….. ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
Mbowe keshagalagazwa, hakuna tena njia nyingine
 
Dawa ya moto ni moto!! Zile kauli Za Slaa zilikua Za uuaji kwa Mbowe! Wacha anywee kikombe alichojiandalia…….. ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
Nchi husimamia na kuongozwa kwa kanuni na sheria na siyo hisia binafsi za viongozi. Afrika ipo hapa ilipo kwa sababu ya mawazo kama yako i.e viongozi kuongoza nchi kwa hisia na visasi na siyo sheria halali. Wastaarabu hufuata kanuni au sheria walizojiwekea hata kama hawazipendi au wana nafasi ya kulipiza kisasi.
 
Huu ndiyo ujinga uliopitiliza. Ukishaona mtu anashangalia sheria kuvunjwa basi hana tofauti na mwehu kwa sababu madhara yake yanakwenda mbali.
Ulikuwa mdogo kipindi silaa anasema mbowe ni gaidi na mahakama isimuachilie? Ulikuwa mdogo kipindi Magufuli anavunja Sheria na Silaa anasema nchi IPO pazuri? Ulikuwa mdogo wakati Silaa anasema zuio la mikutano ya kisiasa dhidi ya vyama vya upinzani ni sawa kisheria? Acha upumbavu silaa ni mpuuzi
 
Nakazia,dr slaa Ni mpuuzi aliyetukuka
 
Back
Top Bottom