Ingekua ni rahisi wangegharamika kutandika mabomba toka Ruvu hadi DSM kwa gharama kubwa?Acha Uongo. Labda fafanua ni ghari kivipi. Ukishaweka mtambo, gharama ni ipi tena ambayo nchi itashindwa kulipa?
Nashindwa kuelewa mtu anaogopa gharama..serikali imekua ikijenga vioo sehem mbalimbali, na huduma hii ilitakiwa kuwa bure ila inafanya biashara na inakusanya mapato permanently, maji dawasco wanawauzia wananchi dumu la litre 1000 ni kama 1700 au elfu 2000. Hapa inakusanya mabilioni ya pesa. Kwanini uogope uwekezaji wa gharama ambao unajua utarudisha mtaji? Labda mniambie nchi hii haina viongozi wenye maono ya mbali. Sehem nyingi raslimali zipo. Makaa ya mawe yanaweza zalisha umeme continuously bila kuongelea maji na ni rafiki wa mazingira. But kila leo migao migao ya umeme . Sisi miafrica na miviongozi yetu Akili fwa fwa fwaa kabsaa.!!Desalination ni kweli inahitaji uwekezaji mkubwa wa awali kwa kuwa serikali inatakiwa itoe huduma kwa wananchi wake inatakiwa itafute pesa kama inavyofanya kwa miradi mingine mikubwa na iwekeze kwenye huduma hiyo na isitegemee kupata faida kubwa au kukusanya mapato kwa muda mfupi ili wananchi waweze kupata huduma ya maji kwa uhakikika na hivyo kuchochea shughuli zingine za uwekezaji na huku ndiko ikusanye kodi
Wataalam wanakuambia gharama ya kuzalisha ni Lita elfu 37 kwa dola 2 hadi 5.Desalination ni process aghali sana duniani.
Pale Usokami, Mkoani Iringa kuna mradi wa Umeme wa Upepco (Wind energy) wa 2.4 MW. Je, haiwezekani baharini ukajengwa mradi wa umme wa upepo wakuendesha mitambo ya maji tu?Kwa umeme upi? Huu wa Makamba ambao unakatika bila taarifa!
Kwenye gridi ya taifa.Suala siyo umeme mwingi au machache bali ni unapatikana vipi?
Viwanda na hoteli zinadumu garama. Lita za maji 37,000 gharama ya kuzalisha ni dola 2 hadi 5.Nikweli hii high-tech ipo Saudi Arabia na baadhi ya mataifa ya kiarabu lkn kwetu ni ndoto mkuu, inasemekana ni moja kati ya technology ghali sana duniani... hatuwezi lipa kwa bili zetu hizi, haswa ukichukulia zaidi ya 60++% ya wakaazi wa DSM ni "WAKORA" wa maji....
Hamna haja ya kwenda. Waziri wa maji Jumaa Aweso akitaka andiko tunampa anaenda kulifanyia kazi. Mgao wa maji bye bye Dar. Hoteli na Viwanda vyote vifingiwe maji ya bahari.. Hawa wananchi waachiwe maji ya Ruvu. UN-Water wana hela zimekaa hazina kazi. Rais Samia akakope aokoe wananchi wake. Tutalipa taratibu.Kwa kweli mku kama unayo hiyo technologia, tusaidie basi uende kwa mku wa mkoa anafikika kirahisi, alafu akupe mtu wake muongozane kwenda DAWASCO shida iishe . Wape hiyo idea then tutafurahi ukirudisha majibu humu JF tukupongeze.
Ukienda wewe kama wewe DAWASCO hawawezi kusikiliza hata huwezi kumuona mkrugenzi wao.
Ruvu Mabomba yapo. Hakuna mradi wa mabomba ya maji kutoka Ruvu ambao umekwama. Wizara ya maji haipewi hela ya kutosha. Ndo Wizara pekee inategemea huruma ya Mungu ili mambo yaendeIngekua ni rahisi wangegharamika kutandika mabomba toka Ruvu hadi DSM kwa gharama kubwa?
Serikali inaweza. Sema hawana utashi. Hela ya Tozo ya miezi mitatu inanunua Mitambo ya kutengeneza maji ya bahariKujenga reli Dar-Mwanza ni ghali zaidi kuliko kutoa maji ziwa Victoria to Dar.
Maji ya ziwa Victoria yako Tabora tayari na hayakati hovyo kama hayo ya mtoni.
Nahisi viongozi wanagombania kupata vyeo ili wapate ulaji si kusaidia wananchi. Mradi wa maji si gharama kabisa. Sema hawaoni umuhimu wa maji sababu wao wanajaziwa maji kwenye matenki yao na SerikaliNashindwa kuelewa mtu anaogopa gharama..serikali imekua ikijenga vioo sehem mbalimbali, na huduma hii ilitakiwa kuwa bure ila inafanya biashara na inakusanya mapato permanently, maji dawasco wanawauzia wananchi dumu la litre 1000 ni kama 1700 au elfu 2000. Hapa inakusanya mabilioni ya pesa. Kwanini uogope uwekezaji wa gharama ambao unajua utarudisha mtaji? Labda mniambie nchi hii haina viongozi wenye maono ya mbali. Sehem nyingi raslimali zipo. Makaa ya mawe yanaweza zalisha umeme continuously bila kuongelea maji na ni rafiki wa mazingira. But kila leo migao migao ya umeme . Sisi miafrica na miviongozi yetu Akili fwa fwa fwaa kabsaa.!!
Dar hakuna vyanzo vya maji. Mbona maji ya Victoria yanatumika unaambiwa yanakaribia Dodoma? Kuna tofauti gani na bahari? Kikibwa tupate rais anaye thubutu. Huko Mkuranga na Nangurukuru wqtatumia maji ya bomba sio visima. Tena ndani ya miezi sita. Nchi yetu haina Vita, hela iliyo jeshini, irudishwe hazina ifanye kazi za maendeleo. Natamani CAG akague jeshi watu mshangae hela inavyotumikaMkuu bado hatujafikia huko tuna vyanzo vingi vya maji tamu/baridi
Hata daraja la kwenda Busisi walikuwa wanasema ghari. Dar haina miundombinu ya maji halafu mtu fulani na kichwa chake anajenga daraja la Coco Beach 🤣Kuna mgeni alikuwepo leo radio one sijui ni Boss kutoka Wizara ya maji,naye anasema kutumia maji ya bahari ni ghali lakini hasemi ni ghali ukilinganisha na nini? Na ni ghali kiasi gani? Tunaambiwa tu ghali.
Hadi Viongozi watakeMaji yapo Rufiji kwanini tuumize vichwa?, ni kuyasogeza tu mto Rufiji sio mbali.
Mkuu mimi nimeitumia hizo RO tukiita fresh water maker,au desalination plants,kwa zaidi ya miaka 15 huko offshore bahari ya Pacific.Tukitengeneza kati ya tani 150 hadi 200 kwa siku.Desalination ni process aghali sana duniani.