Waminyato
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,197
- 4,525
Aiwahusu wao wanatumia maji safi ya kwenye chupa.Hadi Viongozi watake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiwahusu wao wanatumia maji safi ya kwenye chupa.Hadi Viongozi watake
Kweli ndugu yangu, 'Desalination mara nyingi wanaweza nchi zilizo financially stable, na sio nchi kama sie hohehahe............Desalination ni process aghali sana duniani.
Kuna mgeni alikuwepo leo radio one sijui ni Boss kutoka Wizara ya maji,naye anasema kutumia maji ya bahari ni ghali lakini hasemi ni ghali ukilinganisha na nini? Na ni ghali kiasi gani? Tunaambiwa tu ghali.
Kuyafanyia Desertation ndiyo kufanyaje?Sala Wakuu,
Ni aibu kwa Dar, Tanga na Zanzibar kuwa na Mgao wa Maji Wakati kuna Bahari.
Nashauri Serikali itengeneze Maji ya Bahari ili kuondoa tatizo la maji Dar.
Maji ya Ruvu hayatoshi. Pwani peke yake kwa Takwimu za Serikali ina Viwanda 1036 na vyote vinatumia hayo Maji. Achinjilia mbali Hoteli za Dar.
Ni aibu kwa Nchi kiwanda kuzimwa kwa kukosa maji, au hoteli kukosa Maji.
Tanzania ni Tajiri. Itengeneze mtambo wa seawater reverse osmosis systems SWRO. Maji tutauza hadi Nchi jirani.
seawater reverse osmosis systems SWRO ni teknolojia ya kutengeneza maji ya bahari yaweze kutumika kunyweka.
Viwanda wapewe maji ya Bahari theni Dawasa ibaki na wananchi.
Uzuri, Mtambo hautumii umeme mwingi, hivyo tunaweza kutengeneza umeme wa upepeo baharini ukaendesha mtambo usiku na mchana.
Dar ndo Nchi, Dar kutegemea maji ya Chanzo kimoja ni shida. Anakuja adui anaangusha pale Missile moja, dar nzima inakosa maji.
Nchi kibao hazina vyanzo vya maji na maji hayakatiki kwa kutegemea Maji ya bahari tu.
Sehemu kama Kuwait, Saudi Arabia, Marekani, Carlsbad, San Diego, Singapore, Canary Islands, Caribbean, China, Japan wanategemea maji ya bahari na hautasikia uhaba wa maji.
Mungu atupe nini. Achana na Bandari ya Bagamoyo. Wape maji Dar. Au tuuze ndege moja tununue mtambo. Kupanga ni kuchagua
View attachment 2399355
CC: Wizara ya maji
Kama waganda wanajenga bomba la mafuta kwa $3.5b kutoka Uganda hadi Tanga, huo mtambo wa maji hapa baharini ndio utakuwa ghali zaidi ya huo?Kweli ndugu yangu, 'Desalination mara nyingi wanaweza nchi zilizo financially stable, na sio nchi kama sie hohehahe............
Kuota ndoto sio jambo baya, ila uhalisia wa mambo ndio swala muhimu. Sidhani kama Sisi watu wa kuota ndoto za Desalination au hata Recycling wakati tuna mvua, mito inayotirisha maji mwaka mzima na maziwa ya kutosha tu. Kwanini tusifikirie kujenga mabwawa kila mahali ikiwa ni pamoja na Wami, ambapo jiografia inaruhusu. Maji mengi ya mvua zinazonyesha nchini yanaishia baharini baada ya kusababisha mafuriko. Mvua zikiisha tunakuwa na tatizo la ukame na shida ya maji.Sala Wakuu,
Ni aibu kwa Dar, Tanga na Zanzibar kuwa na Mgao wa Maji Wakati kuna Bahari.
Nashauri Serikali itengeneze Maji ya Bahari ili kuondoa tatizo la maji Dar.
Maji ya Ruvu hayatoshi. Pwani peke yake kwa Takwimu za Serikali ina Viwanda 1036 na vyote vinatumia hayo Maji. Achinjilia mbali Hoteli za Dar.
Ni aibu kwa Nchi kiwanda kuzimwa kwa kukosa maji, au hoteli kukosa Maji.
Tanzania ni Tajiri. Itengeneze mtambo wa seawater reverse osmosis systems SWRO. Maji tutauza hadi Nchi jirani.
seawater reverse osmosis systems SWRO ni teknolojia ya kutengeneza maji ya bahari yaweze kutumika kunyweka.
Viwanda wapewe maji ya Bahari theni Dawasa ibaki na wananchi.
Uzuri, Mtambo hautumii umeme mwingi, hivyo tunaweza kutengeneza umeme wa upepeo baharini ukaendesha mtambo usiku na mchana.
Dar ndo Nchi, Dar kutegemea maji ya Chanzo kimoja ni shida. Anakuja adui anaangusha pale Missile moja, dar nzima inakosa maji.
Nchi kibao hazina vyanzo vya maji na maji hayakatiki kwa kutegemea Maji ya bahari tu.
Sehemu kama Kuwait, Saudi Arabia, Marekani, Carlsbad, San Diego, Singapore, Canary Islands, Caribbean, China, Japan wanategemea maji ya bahari na hautasikia uhaba wa maji.
Mungu atupe nini. Achana na Bandari ya Bagamoyo. Wape maji Dar. Au tuuze ndege moja tununue mtambo. Kupanga ni kuchagua
View attachment 2399355
CC: Wizara ya maji
Mwaka 2016 tulipataga majaa walitaka kuja funga hii system pale karibu na Sea Clif Hotel au pale baada ya Police mess! Na Bei kwa Gallon ilikuwa so Cheap kuliko kutoa maji Ruvu kuja Dar....Siasa zetu zikawa nyingii tukashindwa kuendelea nao.Mwaka Jana nilipata hawa wanazalisha maji ya kunywa kutokana na Hewa. Nao wapo Tayari kuja wekeza Hapa Tanzania So kama kuna member wa JF anaweza push ani PM tupige kaziSala Wakuu,
Ni aibu kwa Dar, Tanga na Zanzibar kuwa na Mgao wa Maji Wakati kuna Bahari.
Nashauri Serikali itengeneze Maji ya Bahari ili kuondoa tatizo la maji Dar.
Maji ya Ruvu hayatoshi. Pwani peke yake kwa Takwimu za Serikali ina Viwanda 1036 na vyote vinatumia hayo Maji. Achinjilia mbali Hoteli za Dar.
Ni aibu kwa Nchi kiwanda kuzimwa kwa kukosa maji, au hoteli kukosa Maji.
Tanzania ni Tajiri. Itengeneze mtambo wa seawater reverse osmosis systems SWRO. Maji tutauza hadi Nchi jirani.
seawater reverse osmosis systems SWRO ni teknolojia ya kutengeneza maji ya bahari yaweze kutumika kunyweka.
Viwanda wapewe maji ya Bahari theni Dawasa ibaki na wananchi.
Uzuri, Mtambo hautumii umeme mwingi, hivyo tunaweza kutengeneza umeme wa upepeo baharini ukaendesha mtambo usiku na mchana.
Dar ndo Nchi, Dar kutegemea maji ya Chanzo kimoja ni shida. Anakuja adui anaangusha pale Missile moja, dar nzima inakosa maji.
Nchi kibao hazina vyanzo vya maji na maji hayakatiki kwa kutegemea Maji ya bahari tu.
Sehemu kama Kuwait, Saudi Arabia, Marekani, Carlsbad, San Diego, Singapore, Canary Islands, Caribbean, China, Japan wanategemea maji ya bahari na hautasikia uhaba wa maji.
Mungu atupe nini. Achana na Bandari ya Bagamoyo. Wape maji Dar. Au tuuze ndege moja tununue mtambo. Kupanga ni kuchagua
View attachment 2399355
CC: Wizara ya maji
Hapana kwa sasa Zipo system cheap za kuzalisha maji safi toka bahari kwa garama nafuu kama vile unayavuna mtoni- tuliwai fanya tafiti hii hapa Tanzania na wa Israel. Garama la Galoni moja la Dawasa cost yake na garama ya Galoni inayozalishwa na Desalination plant , Desalination ipo CheapOpportunity Cost...
Desalination ni expensive labda baadae technology inavyozidi kubadilika..., tuwaachie waarabu wenye nishati ya kumwaga wafanye desalination Bongo tuna cheaper alternatives..., Pili Wastes factor mabaki ya desalination ni more salt concentrated sasa kuyarudisha baharini kuna environmental unpredictability ya madhara ya hii kitu
Unadhani ingekuwa hivyo dunia ingehangaika na kwamba fresh water ni only 2% wakati tumezungwa na maji / bahari kuliko hata ardhi ?Hapana kwa sasa Zipo system cheap za kuzalisha maji safi toka bahari kwa garama nafuu kama vile unayavuna mtoni- tuliwai fanya tafiti hii hapa Tanzania na wa Israel. Garama la Galoni moja la Dawasa cost yake na garama ya Galoni inayozalishwa na Desalination plant , Desalination ipo Cheap
Mkuu umejibu vyema sana.Mkuu mimi nimeitumia hizo RO tukiita fresh water maker,au desalination plants,kwa zaidi ya miaka 15 huko offshore bahari ya Pacific.Tukitengeneza kati ya tani 150 hadi 200 kwa siku.
Kwanza hiyo initial cost ni aghali mno.
Operating cost na maintenance cost ni kubwa mno,kubadirisha filters weekly.
Hayo maji ni pure water hayana ingredients, hivyo kuyatumia yalivyo yana upungufu wa madini unless huongeze hizo ingredients.
Inatumia umeme mwingi mno kwa sababu ya pumps zake kusukuma maji chumvi kupitisha fresh water kwenye vipenyo vidogo mno vya membrane ni big issue.
Kitu kilicho ghali ni hizo membranes,zinataka usimamizi na matumizi sahii sana.Bei za membrane spare part ni zaidi ya nusu bei ya mtambo mpya.
Kibaya ni coastal waters si salama kwa kupata maji safi sababu ya pollution tokea viwandani na vinyesi vya binadamu , ina maana itabidi kusukuma maji kuyahifadhi kwanza kwenye setting tanks inaongeza initial cost na maintenance cost.
Lakini kama tukichimba visima hivi vyetu tukapata maji yenye chumvi kidogo inaweza kutumia RO kuzalisha maji safi kwa gharama pungufu zaidi kuliko maji ya bahari.
Hadi kwanza wananchi tutakapo kuwa na akili,yaani leo hii anaibuka kiongozi anasema eti tusilaumiane kuwa ni mipango ya Mungu!!kweli yaani kila mwaka matatizo ni yale yale,yanapotokea mbinu zinazotumika ni za kidharura utadhania ,ni janga wakati ni kitu kinachofahamika.Mungu wa mbinguni tumekukosea nini sisi watanzania? Mpaka leo hatujapata viongozi wanao weza kuondoa tatizo la maji?
Tatizo la Watanzania wengi kama wewe mnapenda dandia vitu na kujifanya mnajua kila kitu! Mnabishana bila kutoa majibu ya kisayansi unapayuka payuka tu! Israel wana zaidi ya miaka 30 wanazalisha maji ya kunywa kutokana na maji ya bahari. Na wana all it takes kudeal na waste baada ya kuzalisha haya maji- kwa kukusaidia hapa Tanzania mji karibia yote yanayouzwa kwenye Chupa yanapitia same system isipokuwa tu settings za maji ya visima na ya bahari zina tofautiana ila ata wazalishaji wa maji kama Uhai Wanaweza wakabadilisha settings za mitambo yao ya RO wakaweza kuzalisha pure drinking water from the sea waterUnadhani ingekuwa hivyo dunia ingehangaika na kwamba fresh water ni only 2% wakati tumezungwa na maji / bahari kuliko hata ardhi ?
ofcourse its getting cheaper by the day and what about disposing the remain concentrated water (Umeiweka pia hii under consideration)?
Sijafanya utafiti zaidi but if this was the case common sense inaniambia issue za maji zisingekuwa tabu duniani
Kwahio Israel wakifanya ndio the cheapest model ya kuzalisha maji kuliko nyingine ambazo zipo ? Kwao wanaweza kufanya na ni cheaper kutokana na their opportunity cost je sisi hatuna mbadala wa cheaper means..., haya mambo ya fulani kafanya na mimi nifanye nadhani ni myopic thinking....Tatizo la Watanzania wengi kama wewe mnapenda dandia vitu na kujifanya mnajua kila kitu! Mnabishana bila kutoa majibu ya kisayansi unapayuka payuka tu! Israel wana zaidi ya miaka 30
Its still debatable scientifically effect ya wide range desalination wakifanya mataifa matatu manne sawa ila kila mtu akifanya let alone cost ya nishati Je pockets za concentrated salt water zinaweza / zitaleta madhara gani ya kimazingira wewe unajua ?wanazalisha maji ya kunywa kutokana na maji ya bahari. Na wana all it takes kudeal na waste
Na hayo maji ya chupa ni bei gani na ya haya tunayouziwa kutumia nyumbani na sio kunywa tu mpaka kumwaga chooni na kumwagilizia bustani na kuoshea magari ni bei gani ? Ushafanya hizo hesabu ?baada ya kuzalisha haya maji- kwa kukusaidia hapa Tanzania mji karibia yote yanayouzwa kwenye Chupa yanapitia same system
And howmuch will a bottle cost? Is it cheaper now with what they are doing or will it be cheaper then ? Na kwanini hawafanyi au hizi information ulizonazo wewe wenyewe hawana ?isipokuwa tu settings za maji ya visima na ya bahari zina tofautiana ila ata wazalishaji wa maji kama Uhai Wanaweza wakabadilisha settings za mitambo yao ya RO wakaweza kuzalisha pure drinking water from the sea water
Tafuta hii plant kubwa ya Israel inayozalisha mamilioni ya lita za maji safi toka kwenye maji bahari
Sorek Desalination Plant
Hii siyo ishu ya DAWASCO bali ni swala la nchi kwa ujumla likihusisha SERA na MIPANGO...Kwa kweli mku kama unayo hiyo technologia, tusaidie basi uende kwa mku wa mkoa anafikika kirahisi, alafu akupe mtu wake muongozane kwenda DAWASCO shida iishe . Wape hiyo idea then tutafurahi ukirudisha majibu humu JF tukupongeze.
Ukienda wewe kama wewe DAWASCO hawawezi kusikiliza hata huwezi kumuona mkrugenzi wao.
Asante kwa mchango wako. Mwisho wa siku Wananchi wa kawaida ndo wanataabika. Unashauri nini kifanyike ili kujiondoa tulipo kwama?Hii siyo ishu ya DAWASCO bali ni swala la nchi kwa ujumla likihusisha SERA na MIPANGO...
DAWASCO ni watendaji na watekelezaji wa SERA na MIPANGO ambayo tayari serikali inayo...
Mambo ya nchi hii kwa sasa hayawezi kwenda unless kufanyike mabadiliko makubwa ya mfumo wa kisiasa na kiutawala wa nchi yetu kupitia mabadiliko ya kikatiba...
Kuwaambia watu hawahawa walio kwenye mfumo huu mbovu wa kiutawala na kisiasa ulioshindwa kutatua matatizo ya nchi hii kwa muda wote huu wa miaka 60 tangu uhuru ni kumpigia mbuzi gitaa ili acheze...
Nchi hii kwa sasa kila kitu ni shida. Umeme ni shida. Maji ni shida. Elimu ni shida. Siasa zetu ni shida tu. Kila kitu ni shida. Hakuna sekta ya huduma ya kijamii ambayo utasema ingalau ni afadhali...
Hii ni ishara ya wazi kuwa, watawala wa sasa chini ya CCM wameshafikia ukomo wa kufikiri kwa ajili ya nchi na wananchi....
Badala yake kwa kuwa wao hawakatikiwi na umeme, maji kwao yanatiririka usiku na mchana, hawawezi kujua shida na adha wanazopata wananchi sisi...
figganigga
Kwa rufiji kupo sawa Ila mpango ulikua ni kwamba maji ya kwenye bwawa la umeme ndio yaende darRufiji siyo mbali. Kwa nini wasichukue maji ya mto Rufiji walete kwa watu wa Dar?