Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

Hela ndio Mungu wa dunia..hata wewe ukipewa hela mbona unaachia shimo wazi tu.

Na huyo mungu wako utamkana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Heheee..kwahiyo maandiko ya biblia mnayatumia kwa namna hiyo..mbona wakati wapendekoste mitume walijazwa roho mtakatifu..au mudi aliwashukia kisha akafa akaja kuzaliwa makka sijui huko madina?

Acha upotoshaji biblia ina wenyewe.

Mudi wala kurwni havina uhusiano na mungu wa wayahudi au yule aliyekuja kuhubiriwa na Kristo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Watapewa Toyota Alphard kila mmoja. Maana yule Nabii ukienda kwake tu ukamsifia haoni shida kukuchapa na Crown au Premio au Mercedes Benz
 
Unatumia nguvu nyingi sana..ndio mana nasema hakuna muislamu bila biblia hata mudi alikopy biblia na kupest upuuzi..kama mnavyoendelea kufanya waumini wake wapuuzi kama wewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Roho Mtakatifu alikuwepo tangu mwanzo kabla ya uumbaji ila hakuwepo kwa mitume na katika hali mpya ambayo Mungu aliikusudia baada ya kazi ya ukombozi alofanya Yesu.
 
Mungu hujidhihirisha kwa mwanadamu kwa njia za kibinadamu. Historia ya uumbaji imeandikwa kwa lugha nyepesi mno mimi huita lugha ya kitoto manake tusingeelewa kitu kama Mungu angeanza kuzungumzia atoms na electrons, protons na sub atomic particles ambazo mpaka leo na kesho zinavumbuliwa.

Yesu (Mungu) alikuwepo kabla ya nyakati na ndani ya wakati wetu amejidhihirisha kwetu katika nafsi ya Yesu Kristo. Na alipoondoka katika hali ya ubinadamu alituachia Roho mtakatifu ambaye yeye yule Yesu katika roho. Mungu ana uwezo wa kujidhihirisha katika namna yoyote apendayo iwe moto, ngurumo, umeme au mtu kama ilivyoandikwa kwenye Biblia.
 
Kweli maisha magumu!Mashehe wameamua kuwa machawa wa nabii mkuu!!?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Roho Mtakatifu alikuwepo tangu mwanzo kabla ya uumbaji ila hakuwepo kwa mitume na katika hali mpya ambayo Mungu aliikusudia baada ya kazi ya ukombozi alofanya Yesu.
Unatumia biblia iliyo kichwani mwako?
 
Biblia hii inaitwaje?
 
Katika zile sifa 3 za wanafiki,zote zinamuhusu Muislamu kwanza kabla ya asiyekuwa Muislamu.......Dalili za kiyama ndio kama ivi zinajidhihirisha waziwazi
 

Kuna aya nyingi katika Agano Jipya zinazounga mkono utume/unabii wa Yesu.

Zifuatazo ni aya chache tu miongoni mwa aya hizo:

Katika Mathayo 21:11, watu wa zama za Yesu wamerekodiwa wakimchukulia Yesu kuwa ni mtume:

“Makutano wakasema, Huyu ni yule nabii, Yesu, wa Nazareti ya Galilaya.”

Katika Marko, 6:4, imeelezwa kuwa Yesu amejitaja yeye mwenyewe kuwa ni mtume:

“Yesu akawaambia, Nabii hakosi heshima, ispokuwa katika nchi yake mwenyewe, na kwa jamaa zake, na nyumbani kwake.”

Katika aya zifuatazo, Yesu anachukuliwa kuwa ametumwa akiwa ni mjumbe. Katika Mathayo 10:40, imedaiwa Yesu amesema kuwa:

“Awapokee ninyi, anipokee mimi, naye anipokeaye mimi, ampokea aliyenituma.”

Katika Yohana 17:3, pia, Yesu alinukuliwa akisema:

“Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Yesu anaonyeshwa kuwa ni “mtu” ametofautiana na kutengana na Mungu.

Katika 1 Timotheo 2:5, Paulo anaandika

“Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu.”
 

Paulo katika barua yake ya kwanza kuwapelekea Wakorintho aliandika:

Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
1 Wakorintho 15.15

Ikiwa Mungu kamfufua Kristo, hawawezi kuwa wote wawili hao ni mtu mmoja.

Mmoja alikuwa ni mtenda, mfufuaji, na wa pili alikuwa ni mtendwa, mfufuliwa.

Kama Kristo ni Mungu mwenye uwezo wa kufufua basi maelekeo ni kusema:

"Kristo kajifufua", sio kafufuliwa. Mwenye kufufuliwa ni mfu asiyejiweza kitu.
 
Roho Mtakatifu alikuwepo tangu mwanzo kabla ya uumbaji ila hakuwepo kwa mitume na katika hali mpya ambayo Mungu aliikusudia baada ya kazi ya ukombozi alofanya Yesu.
Yohana 16:7-8, inasema; “Bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.”

Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile? Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu? Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine? Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi tofauti?
 
Sheikh wetu Hilary Kipozeo hapendagi uchawa kabisa. Yeye kazi yake ni kutupa mawaidha juu ya raha za peponi na neema za Allah alizowajaalia waja wake.

Peponi kuzuri tu.
Ee mwenyezi Mungu utujalie waja wako tufike peponi.
Dakika za mwisho za Fascist Jiwe Sheikh Kipozeo alishaingizwa kwenye payroll ya kumsifia Kayafa.
 
Biblia ipi unayoikusudia kusema KJV, NKJV, QJV, RSV, Au maelfu ya biblia tofauti?
 
Hela ndio Mungu wa dunia..hata wewe ukipewa hela mbona unaachia shimo wazi tu.

Na huyo mungu wako utamkana.

#MaendeleoHayanaChama
unadhani mimi kameroon kama wewe, kama umezoea kuliwa unaliwa tu bila hata hiyo hela unayosema , mimi najielewa jibwa weye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…