Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Assume na mimi ningekuwa na kitu cha Alex hahaha, si ningemlaza jamaa? Kwa sisi waafrika mambo ya kutembeleana home bado sana, kuepusha maugomvi yasiyo na sababu ni kuliepuka kabisa hilo jambo.
Kabisa mkuu. Unalosema nalo neno. Hakuna kitu napenda kama home. Yaan some sort of recreation hv. Basi kila mtu abaki kwake tukutane matukio maalum tu na basi. Ndo la msingi naona
 
Wenzako US Sasa hivi wanalala wapumzishe akili, wewe chokoraa unapuyanga Jamii forum ukiwa umejikunyata Kwenye station za train huna pa kulala. Homeless mkubwa wewe

Rudi bongo kichaa wewe.
 
Sasa Mimi Nina matatizo gani kwa Jitu nililolijua zaidi ya kuona maiti Yake ikiwa imetapakaa damu. Simjui na Sina wivu kwa yoyote naongea ku-cement hoja zangu kuwa alikuwa limbukeni na Mjinga.
Take ur time
 
Maafaka

Kama ume-mind sana jump into the ocean

Mengine ni emotions za kike unaonesha tu hapa....

Gift kala sita barabara sababu ya uwezo wake mdogo wa akili...

Alex took himself out on his own terms as a man...
Ndio nimemind na sipendi tabia za kishamba Kama Huyo mshamba mwenzio. Jitu unaishi Marekani ila Ukoko wa ushamba umekujaa Kama Uko Namtumbo!!



Emotion za kike ako nazo mama yako sio mimi. Jinga wewe!


Swala wa mikumi wewe !!
 
Certified Idiot



Pumbav
 
Nami nasema walipaswa ita polisi. Na huyo mwana usalama kwa utashi baada ya kuona kiwanja siyo na kutoa maonyo si alisepa? That means anajitambua mbali na kwamba alipaswa muitia polisi. Ila aliona michongo nakula chombo halag mambo ya silaha tena yanakuja hatafai ngoja nikalale ama nihame kiwanja. Sitaki kuamini kwamba gift alimfata kiupole hapana. Lazima alikua na ushari. Sasa mtu yuko maji ana utimamu tena? Hamna kitu hapo. Maamuzi yoyote atayochukua majuto huwa ni baadaye kbs pombe zikikata. Sasa risk ya nini yote hiyo na huna mafunzo yoyote. Nani akabebe hiyo risk. Mimi mashukuru limetokea sote timejifunza both ways. Silaha si ya kwenda nayo viwanja, ma pia usimvamie mwenye silaha viwanja. Pia kama unaamini huna sifa za kuimiliki kama mimi usiende chukua. Tutamalizana. Kila mtu ajitathmini juu ya hili. Gift alikua ana nia nzuri tu naamini lakini the approach was wrong. Hata nikuone una jiwe nakaa mbali. Nani anataka manundu?
 
Ndio nimemind na sipendi tabia za kishamba Kama Huyo mshamba mwenzio. Jitu unaishi Marekani ila Ukoko wa ushamba umekujaa Kama Uko Namtumbo!!



Emotion za kike ako nazo mama yako sio mimi. Jinga wewe!


Swala wa mikumi wewe !!
Mzee shusha pumzi kidogo, hii jf tu mkuu! Isikuharibie siku yako, kula zako pilau la eid and furahia maisha, ukiifuatilia sana jf unaweza pata bp buree
 
Mkuu naomba kwanza unielewe mimi simjui yeyote na siko upande wowote na sijakaririshwa chochote.Ukinisoma between the lines utaona dhahiri kwamba niko neutral.Nimeliangalia tukio kwa jicho la sheria ilivyo.Self defense inakubalika lakini ina vigezo vyake.Moja,kulikuwa na threat kweli? Je,huyo aliyesababisha threat alikuwa na uwezo wa kuleta madhara? Je,nguvu uliyoitumia ni reasonable kulinganishwa na threat yenyewe? Na ,uliself defense ndani ya muda gani? Inatakiwa iwe ni wakati ule ule threat ilipoonekana au muda mfupi kabla na baada ya kuonekana threat.Ukichelewa itatafsirika Kama retariation ambayo haikubaliki .Provocation nayo inatakiwa itokee wakati joto halijapoa.Ukisubiri ipoe provocation inakataliwa.Inashangaza kuona police hawajafanya kazi yao.Watakuja kusema wahusika walishafariki hakuna wa kumhoji.
 
Assets zote zinahamishiwa kwa mwanamke,Alex hana asset hata moja,sijui utatoa wapi asset za kulipa huo ujinga?
Kosa ni lajinai,mshtaki ni serikali hivyo serikali inatakiwa kubeba liability.Hata silaha iliyotumika Ni ya serikali na serikali ndo ilimkodisha bwana Alex mtoto wa Korosso.
 
Exactly

But these lunatics will never understand what you have just said!

Are too emotional to understand these jewels from you!
Mpuuzie. We should just get ready to learn new things kwa kila mazingira. Kuwa typical extremeest ni mbaya sana. Tutamtetea zawadi sawa lkn tumejifunza nn kwa upande wake? Approach aliyoutumia ilikua sahihi? Hapana, je na sisi yakitokea mazingira kama hayo tutumia njia hiyohiyo ya zawadi. Hapana. Sasa kushupaza shingo ya nn. Nashukuru nimepata somo.
Kiukweli ningepata bastola kwa jinsi nimemuweka moyoni yule kijana who knows nini kingetokea maybe siku ameingia 18 zangu? And maybe kujilinda ningetaka hata watu wajue nna bastola ili waambizane aisee yule manzi anamiliki kibomba usimchezee? Nadhani ndo hiki alichokitumia alex. Kuonyesha kwmaba sitaki masikhara namiliki kibomba musinizoee. Na gift hataki unyonge ama kuonewa. Mimi nilishaonewa hivyo nina roho ya kisasi nimebeba dhidi ya yule kijana na hivi ni kibaka nilimwambia tu mamake huyu kijana wako atajaharibu mahusiano yetu siyo siku nyingi. U see now? Watu wanabeba vitu moyoni. Aisee... hata bisi bisi sibebi maana siku angenigusa na ninayo ningemtoboa mpk utumbo maybe. Sembuse kibomba? Lets learn to be positive aisee.
 
Uki sawa,ni sawa na Tanzania iichokoze Marekani halafu Marekani ajibu .Ingawa mwenye nguvu anatakiwa afuate utaratibu lakini kosa lake ni justifiable kwa sababu ana haki ya kujilinda.
 
Hatujui mazingira yalikuwaje lakini Kama lilikuwa kundi dhidi ya Alex hapo necessity inahusika maana hakuna ambalo angefanya ila kama Gift pekeyake ndo alimfuata hapo ordinary person angemuweka Gift chini ya ulinzi au Kama kupiga angepiga risasi ya mguu tu.
 
Kosa ni lajinai,mshtaki ni serikali hivyo serikali inatakiwa kubeba liability.Hata silaha iliyotumika Ni ya serikali na serikali ndo ilimkodisha bwana Alex mtoto wa Korosso.
Adante kwa darasa. Kumbe serikali ingejamlipa mama wa huyu kibaka[emoji23][emoji23] na kiukweli watu wanamtafutaa Ally jamani. Yaan wana usongo nae. Last kuiba upande ule mwingine wa morogoro road mwenzake alikamatwa akakatwa bega lote likashuka na mkono, ally alikimbia. Yaan ana mbio jamani[emoji23][emoji23] sijui kama mwenzake alijapona. Nna uchungu nae ila hii story imenibadilisha. Sasa huwa ana ngumba na nyumba ya kuiba. Kwetu anapaogopa ila kuna apartments ndo daily anaiba dirishani kupitia geti lao. Nasubiria nione tu siku linatekelezwa tukio shenzii.
 
Uki sawa,ni sawa na Tanzania iichokoze Marekani halafu Marekani ajibu .Ingawa mwenye nguvu anatakiwa afuate utaratibu lakini kosa lake ni justifiable kwa sababu ana haki ya kujilinda.
Exactly. And thats why wanawalipa Japan mkp kesho. Epuka vurugu na ugomvi aisee. Who knows gift angefanikiwa itia kibindoni silaha angemfanyaje marehem pia. Hapa ni kujihami. Dawa ilikua ni kuita polisi na basi
 
I will still insist, gift angetulia. As far as hakua amechokozwa. Maana hakuna mahali tumesikia amechokozwa. Na kijiwe ni cha gift kazoeleka. Obvious hata mm namtetea mshkaji wangu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…