miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,088
ShitholesNdo maana Trump alitubatizia jina nchi za pande hii inayoitwa southern hemisphere kiuchumi.
ShitholesNdo maana Trump alitubatizia jina nchi za pande hii inayoitwa southern hemisphere kiuchumi.
Gift au yeyote hakuwa na haki ya kugusa silaha ya Alex acha kumnyang'anya,haki aliyokuwa nayo Gift ni kumripot polis na kuondoka.Alex naye hakuwa na haki ya kumpiga risasi yeyote ila exceptionery in case of an atack and provocation angeweza itumia but reasonably ama kuarest bila kushoot au kushoto kusilo lenga kuua.Kitendo cha kushoot serially inaonesha alikusudia kuua.Hata kukiua inaweza kutafsirika kwamba alipanga hivyo kabla.These people dont believe kumvamia mtu kumnyang'anya silaha yake na hauna mamlaka hayo kisheria ni kosa hawaaamini hivyo
Ni very very tought kubishana nao
Wao anaamini eti Gift alikua na haki kumvamia Alex kumnyang'anya silaha yake....hata uwabishie vipi wao wanaamini hivi....muafaka hapa hakuna tutawajazia JF servers zao kwa hili
Ng'ombe wewe kafie mbele...Mimi ni African,sio Mmarekani,yanini unanisukumia Umarekani?
Inferiority complex,yaani unaamini Mmarekani hana tabia za kishamba ila Mwafrika wa Namtumbo ana tabia za kishamba?
Yaani wewe unaamini Mwafrika yupo chini kiutu zaidi ya Mmarekani?
Hii tabia ya kujifikiri upo under other races kwenye utu na ubinadamu ni kilema kibaya sana
And you are the poster boy of this useless thinking...
Utaendelea kua chini milele
Mtaa huo ulikuwa maarufu enzi hizo maana kijana wa kiume wa kichagga akitaka kujifunza kula K anaenda kufunzwa Dar es Salaam Street.Mtaa huu una guest nyingi nazani mumiliki ni mama mmoja. Nimelala sana mtaa huu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Unaona ulivyo kichaa hata sheria za umiliki wa Silaha hujui.Hivi kumiliki ni sawa na kukodishwa?
Serikali haijamkodisha yeyote chochote...imempa leseni baada ya kuridhika amepitia vigezo vyote na yeye kununua silaha
Hajakodishwa pahala
Alex ndiye alikuwa anadaiwa Bill/deni?Unajua akili ya mwanadam na akishalewa anakuwaga na visas,yaani hasau jambo hata kama alihudhika siku akilewa tu anakumbushia
Kuna mtu yuko pale jikoni kwenye pig namjua,anakwambia kabla huyo marehem alikuwa mikwazano kdg na mambo ya kulipa
Bill alikuwa anadaiwa na mmiliki
Mpaka kuna siku mke wake akaja ku clear...sasa inawezekana hta hilo jambo kama ni kweli,basi jamaa alikwazika au lilimuudhi,ndomana alipokuwa eneo lile anakata maji alikuwa anakunywa kwa jazba na pombe ukinywa huku ukiwa ma stress basi itakupeleka hivyo hivyo
Hapo hata akitokea mtu mkapishana kauli basi
Mtafanyiana mambo ya ajabu
Ova
Wewe homeless leo ni holiday TANZANIA au hujui ?Ni ajabu likichaa kunishauri muda wa kulala
Huna kazi za kufanya mpaka unakaa kwenye internet kutoa ushauri watu walale saa ngapi ambao hujaombwa?
Tafuta kazi za kufanya,kazi za ushauri ambazo hulipwi wala hujaombwa ni ukichaa
Huna lolote,umejaa emotions kama mwanamke alie mwezini.....panua miguu my dick comes in steady!
Who cares about your useless emotions?Sit on that shit!
Kwahiyo mtu akiwa anafunga urembo ndio justification ya kutokuwa na hela ??!! Chizi kweli wewe!!!Upo sawa
Ila hapo kuua kujilinda angeweza jitetea vizuri tuu
Japo ingekua big debate,ila angeweka lawyer bora na kuset mambo sawa,angepita mzee
Na kumbuka Alex ni highly connected individual,pia alikua na pesa zaidi ya Gift
Gift ni fundi wa kufunga urembo kwenye magari,hafui dafu kwa Alex kwenye financial muscles
Regardless,hivi vifo visingetokea,basi tu!
Mpumbavu wewe ,Hujui lolote wewe maiti
Huwezi nifundisha lolote,huna akili hizo.....
Kitaaluma mimi sio mwanasheria ila,Ila huwezi nifundisha lolote,maana una ubongo mbovu
Wenye ubongo sahihi hua hawapo emotional hivyo wakati wa kujibu hoja
Hujui kuhusu umiliki wa silaha Tanzania maana huna na wala hujawahi miliki silaha,Alex alikua nayo,he knows more than you in his death more than wewe ukiwa mzima hivyo maana alishapitia yote hayo
Wewe hujui lolote kuhusu umiliki wa silaha Tanzania maana huna na huna uwezo wa kua nayo maana huna hela yeyote ya kuweza kufanya hivyo ndio maana huwezi fundisha yeyote chochote
Usijitanue hapa
Kama una proof ya umiliki wako wa silaha attach leseni yako hapa kama proof,hunaaaaa!
Kakojoe ulale
Yaani mmiliki wa sime na vitu vya jikoni eti leo anakaa JF anataka kutudanganya anajua lolote kuhusu umiliki wa bunduki nchini Tanzania?Hivi unafikiri unamdanganya nani?
Useless
Mimi Ni low class ndio ...Biologically mimi ni mwanaume siwezi zaa
Na I wonder,kama wewe ni mwanaume how on earth unaweza mzalisha mwanaume mwenzio?
Tuseme una gay tendencies.....
Kama una gay tendencies mkuu kaa nazo mwenyewe,tafuta gays wenzio,mimi natomba wanawake,keep those nonsenses to yourself
Mimi sio homeless,as per own evaluation ninaishi comfortable kwa standard za US ambapo infact kwa TZ ni upper middle class
Najua wewe utakua mwajiriwa pahali na umepanga,level yako ya maisha utakua chini yangu
Punguza upumbavu kwa watu usiowajua....unafeli kudhani mtu akiwa nje ya nchi ni homeless,ningekua homeless ningekua nisharudi TZ,far from it!
Hold your hoses!
Kapiga risasi sita na yeye kajipiga risasi moja. Wote wamekufa.Unashindwa kuelewa
Gift ni mfanyakazi kwenye duka la urembo wa gari la jamaa aliehojiwa,yeye sio mmiliki,alikua deiwaka kwenye duka la jamaa
Hawezi kua na hela yeyote
Alex anakunywa 600,000 kwa siku...let that sink in first!
Kibarua anaweza kuingia kwa mtu anae kunywa 600,000 kwa siku?
Lets be real here
Na deni,sio deni,kafa ndio mkaita deni,alikua alipe pale pale alikua hajamaliza
Mengine ni blah blah blah
Pigwa risasi sita safi kabisa kuwapa somo kua mpunguze usenge
Acha nilichangamshe hili Homeless limenikuta Niko free leo.Mzee shusha pumzi kidogo, hii jf tu mkuu! Isikuharibie siku yako, kula zako pilau la eid and furahia maisha, ukiifuatilia sana jf unaweza pata bp buree
Now umenyooka Sasa!Hahahahaaa
Still unaongea kama vibarua wa gereji za Sinza
Exactly
Wewe ni jamaa yake Gift,upo emotional,I can understand that
Fact is,kauwawa sababu ya upumbavu wake,thats fact,mengine ni makelele unaleta
I'm sorry mmekasirika kweli,na mimi nimepoteza rafiki yangu,ila sijawa emotional kama nyie
Ni sawa
Endeleeni kua emotional,zikija kuisha mtakaa sawa na kukubali matokeo ya hii fact!
Huna uwezo wowote wewe ngariba , umeshindwa kujisaidia wewe na familia yako ije kuwasaidia watu Baki.Unaanza kujenga chuki na US,na anakutukana ni mimi
Unaona ulivyo stupid
Mwanangu kafa on his own terms kwa hiyari yake kwa uamuzi wake binafsi
Mwanao kapelekwa kuzimu kwa lazima kwa amri ya Alex,risasi sita safiii kabisa
Najua mmekasirika sana,poleni sana aisee....Ningekua na uwezo ningewasaidia
Mimba uliyoachiwa na huyo Mpuuzi tutaitunza sisi shemeji zako acha kulialia.Umnyooshe nani mzee?
Wewe?
Be real mzee
Wewe ni low class,hiyo ni FACT.....plus mimi ni mjuaji zaidi yako,kama hupendi sina cha kukusaidia
Eti acha usenge!!!Familia yangu huijui,cha ajabu unajifanya unaijua
Utakua na kichaa kuongelea familia usizozijua,kwanini usiongelee familia yako unayoijua kwa usahihi?
Na wewe kupangia wanadamu kusaidia wanadamu wengine ni usenge
Kila mwanadamu ajitegemee
Wewe kama hujui kujitegemea utakuja kuliwa matakor,acha utegemezi
Asante Sana kwa Somo mkuu,Pamoja na malumbano yanayoendelea kati ya
Wyatt Mathewson na lunatoc yakijaribu kupozwa na miss pablo . Kwa ruksa yenu naomba nielezee kuhusu silaha. Silaha ni mali ya serikali ila unamilikishwa. Ndo maana ukifa silaha inarejeshwa Polisi na huwezi kudai gharama za kuinunua. Ni kama zamani ukitaka kuunganishwa umeme au maji, pamoja na kununua vifaa vyote hata nguzo, lakini bado itakuwa ni mali ya Dawasco au Tanesco.
Sasa unashangaa nini kuwa mwanaume hawezi kupata Mimba halafu unajiona mjanja umetembea sana.Mwanaume anapewa mimba biologically?
Hivi ulishaendaa shule kweli?
Hivi unajua somo linaloitwa Biology?
Nadhani hujui ndio maana unaongea fantasies tu hapa!
Nenda shule kwanza