Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Upo sawa

Ila hapo kuua kujilinda angeweza jitetea vizuri tuu

Japo ingekua big debate,ila angeweka lawyer bora na kuset mambo sawa,angepita mzee

Na kumbuka Alex ni highly connected individual,pia alikua na pesa zaidi ya Gift

Gift ni fundi wa kufunga urembo kwenye magari,hafui dafu kwa Alex kwenye financial muscles

Regardless,hivi vifo visingetokea,basi tu!
Mkuu ukitaja connection na pesa ina maana rushwa,twende free bila rushwa.Ushahidi ambao ungebanba ni tabia alizozionesha kabla ya tukio ,nguvu iliyotumika na idadi ya mapigo.Kama Gift hakuwa na silaha, Bastola Ni Matumizi ya nguvu kubwa.Na kabla hajamlenga ,alitakiwa apige hewani,Kama angeendelea kuja na kwamba ana uwezo wa kushambulia ndo Alex angepiga mguuni.Yeye alipiga mguu,akapiga tumboni alafu akamalizia na kichwa.
 
Kwahiyo mtu akiwa anafunga urembo ndio justification ya kutokuwa na hela ??!! Chizi kweli wewe!!!

Mbona Huyo mnaesema alikuwa na hela kafa na Deni la bia za laki 6. Unakuwa na hela unashindwa kuclear bill ya laki 6 kazi kutishia watu na bunduki.

Huna akili wewe taahira.


Ngumbaru mmoja umetoka huko kwenu migombani tukakufunza ujanja DSM unaanza kutuletea ujinga.


Stupid wewe.
Mbona umemjibu kwa ukali kiasi hiki mkuu.
 
Hahahaaaaa......kumbe my language makes you uncomfortable?

Unatukana na wewe lazima utukanwe....yaani wewe ulitegemea uongee usenge na wewe usiongelewe usenge?

Mambo yale yale ya kifala ya Gift....unavamia watu unategemea usipigwe bomba?

You niggas are useless aisee!
Endelea kuandika usenge kwa Kikristo "Kimarekani" Kiinglishi Mimi nikushindilie na maneno yetu ya Tandale. Wewe si Black American na You Know I'm Saying nyingi
 
Kamfunze Gift mkuu

Ni ajabu jitu zima lipo kwenye internet eti linajipa cheo la kufunza internet characters adabu

Huelewi kabisa unaweza ukawa unachati na machine na wala sio human being

Hata kama ni human being humjui

Tumia muda wako kufundisha watoto wako adabu walao watakuelewa,ni ajabu eti leo ufundishe mtu mzima mwenzio adabu

Plus Wyatt ni internet character dont be worked out mzee
Acha kulinganisha mashine na takataka Kama wewe.

Mashine ya Kusagia matunda ni Bora kuliko wewe shwaini unakuja kushabikia mtu kuua.


Wewe Ni kopo la chooni.
 
Nasemea hela za kuweka lawyers wazuri zaidi ya wa Gift

Siamini kwenye rushwa mkuu

Naamini kwenye manpower ya kuweka best lawyers na vitu vingine vinavyosaidia ku urgue your case kwa urahisi zaidi

Na hela za ku-hire private investigators,etc

Gift hamuwezi Alex kabisa kwenye money muscles

Nadhani umenielewa...

Mengine ya technicalities unayosema nakubaliana na wewe,lakini ukiwa na first class legal representation una win hizi kitu
Nimekuelewa ,ila kwenye jinai ni ligi kati ya Jamuhuri na mshtakiwa hivyo Gift angekuwa shahid tu na kwakuwa amekufa ,Alex angekuwa anapambana na DPP .Nikubaliane na wewe kwamba ukiwa na pesa hata DPP huwa ananywea
 
Ushaanza uoga wa Kingereza

Mpaka lini mtakua mnaogopa Kingereza aisee

Kiswahili hujui,Kingereza hujui,hivi kuna lugha gani dunia hii mtajua nyie maiti?

Na shule mmeenda kwa miaka zaidi ya 14,still ukisikia Kingereza unajinyea

Hivi nyie ndio tutakua tunawatuma Ulaya mkaingie mikataba na Wazungu wakati hujui hata lugha?

Musukuma wewe,takataka kabisa

Uoga wako wa lugha ni wako binafsi,usitufatefate tunaojua,wewe hujui,punguza wivu

Tunaongea Kingereza fasaha,tunaongea Kiswahili fasaha kushinda wewe unaelia lia

Punguza emotions
Raisi wa China hajui English sembuse mimi, wewe hicho kiingereza kimekuongezea nini Kama si kuwa Homeless na Mbeba box Kwa Biden.
 
Nadhani hapo ndio napotofautiana na wewe

Sikubaliani na wewe kuepewa leseni ya kumiliki kitu ni sawa na kukodishwa hicho kitu

Sikubaliani na wewe kuhusu hilo

I wish ningekubaliana na wewe,ila Im sorry,siwezi
Kwakuwa ni mtazamo wako sina shida kabisa ila ninavyojua Mimi hata nyumba hizi watu hujidai Ni zao lakini Kama wamekodishwa tu.Ardhi ni mali ya serikali ukipewa hati inakuwa na muda fulani ukiisha inabid uombe tena. Serikali ikiitaka ardhi at anytime inaxhukua wanakulipa fidia kulingana na uwekezaji ulioufanya tu basi.
 
Ujinga tu mtu kuwa na porno magazine ndio ujanja.

Kuna wabongo kibao miaka hiyo wameshatimba US na nchi za nje Tena kwa kuzamia meli sembuse Huyo limhukeni alienda US kwa tiketi ya baba.


Kipindi hicho mabaharia kibao wameshafanya hayo yote na wako kimya.


Huyo Alex ni mpuuzi tu Hana lolote Bora limekufa ili kupunguza vichaa wanaomiliki Silaha maaana angeweza kufanya hata mass killing.


Jinga kabisa lile eti keki linachora Bastola. Maiti Yake ichapwe viboko kwa kutuuwia innocent man. Si lingejiua lenyewe tu mpaka liondoke na roho ya mtu mwingine.

Ushamba tu. Kwenda Marekani sio lazima kufuta ushamba. Wengine ushamba uko kwenye Vein Muscles kama Hilo chizi lilikuwa Ngumbaru licha ya kuwa na exposure ya kwenda nje.

Rest In Hell
Alikuwa boya na limbukeni alafu inaonesha kuna maboya walikuwa wanamjaza ujinga kichwani kuwa ni mjanja, na yeye ili aendelee

kuonekana mwamba hakukubali kupotezea vitu vidogo vidogo.

Sifa zakijinga zimesababisha yote hayo
 
Next time unapokuwa eneo la starehe ukiona mtu analeta mizaha na silaha yake usisubirie kuona nini iitafuata. Ingia washroom kimya kimya, piga simu polisi kuwajulisha eneo la tukio waje wamdhibiti maana wanajua taratibu za kumiliki silaha na namna ya kuishika maeneo ya public.

Kama huyu jamaa mashuhuda wangepiga simu polisi mapema pengine angedhibitiwa mapema sana. Tuwe watu wa kuchukua hatua.

Hata unapoona tukio la watu kufanyiana fujo au ugomvi wewe piga simu polisi toa taarifa na uwasihi kuja haraka sana kuwadhibiti wahusika. Kama ni domestic violence au abuse usisite kutoa taarifa na kutoa msaada. Huenda ukaokoa maisha ya mtu asie na hatia.
Unachotakiwa kufanya ni kutoa taarifa polisi kama Kuna dalili za uhalifu ama uhalifu kufanyika,mambo ya kuingilia achana nayo.Wengi wamepoteza maisha kwa njia hiyo.Kama haikuhusu,toa taarifa halafu oneoka zako.
 
Pamoja na malumbano yanayoendelea kati ya

Wyatt Mathewson na lunatoc yakijaribu kupozwa na miss pablo . Kwa ruksa yenu naomba nielezee kuhusu silaha. Silaha ni mali ya serikali ila unamilikishwa. Ndo maana ukifa silaha inarejeshwa Polisi na huwezi kudai gharama za kuinunua. Ni kama zamani ukitaka kuunganishwa umeme au maji, pamoja na kununua vifaa vyote hata nguzo, lakini bado itakuwa ni mali ya Dawasco au Tanesco.​

Ha ha ha na mimi wasije niua kwa kiherehere changu ngoja nisepe kijiwe hiki maana kama.mzee mpili ana manyuklia yake tu sembuse hawa.?
 
Next time unapokuwa eneo la starehe ukiona mtu analeta mizaha na silaha yake usisubirie kuona nini iitafuata. Ingia washroom kimya kimya, piga simu polisi kuwajulisha eneo la tukio waje wamdhibiti maana wanajua taratibu za kumiliki silaha na namna ya kuishika maeneo ya public.

Kama huyu jamaa mashuhuda wangepiga simu polisi mapema pengine angedhibitiwa mapema sana. Tuwe watu wa kuchukua hatua.

Hata unapoona tukio la watu kufanyiana fujo au ugomvi wewe piga simu polisi toa taarifa na uwasihi kuja haraka sana kuwadhibiti wahusika. Kama ni domestic violence au abuse usisite kutoa taarifa na kutoa msaada. Huenda ukaokoa maisha ya mtu asie na hatia.
This is all that summed up. Nami nimepata somo hili. Kugombelezea maugomvi ni hatari sometimes. Yaweza kukugharimu. Muhimu ni polisi na basi
 
Yes. Very correct. Amesema hivyo kutokana na uhalisia wenyewe. Tukumbuke akili za pombe siyo. Tuliweke hili kichwani. And yes, maybe kweli wangeenda mahakaman alex angeweza shinda kulingana na ambavyo angejitetea. Its sad tumenpoteza gift na alex mwenyewe.
Wote washamba tu,hao mayanki wa Moshi ,Arusha wamejazana huko Sinza,Kino,Tabata ni wakuja wa 2010+ huko.
Hapo ukute walikua na biff kumgombea dem
Dem mwenyewe ni yule mchaga wa Kimara aliyemchoma bwanaake ndani ya nyumba.
Connect dots
 
Back
Top Bottom