Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Kwa funzo hili najua wengi wataziacha nyumbani.Na ufiche maana mtu yeyote akiitumia liability ipo kwako mmilki
Yaani nakuambia. Siyo ishu hata ya ushamba. Ni inferiority complex. Naamin kbs hata mm ningeta kujioshea. Kama nguvu sina sasa nifanyeje[emoji23][emoji23] ndo maana nashindwa mlaumu alex.
 
Jitihada zake zote za kumshawishi baamedi amkubali ziligonga ukuta akachanganyikiwa akawa anatembea na bastola, alikuwa zaidi ya boya huyu tahira
 
Afu mbona kama we ndio umepanic sana kifupi huyo jamaa yenu Alex alikuwa fala tu.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Huyu jamaa hataki kabisa kusikia hiki kitu..

Huyu bwamdogo wa kuitwa Alex kwanza kabisa hakua mjanja kivile.. sema tu ni wale watoto waliokulia kwenye familia ambazo kidogo zilikua above average (sio matajiri). Hii inawezekana ilimfanya aonekane "mjanja" kwa watoto wa njoro na majengo kwa mtei huko, ila generally mjini hakuwa anafahamika.

Pili hakua maarufu kama jamaa mmoja anavyoiweka hapa. Baba yake mzee James Oraa ndio alikua maarufu miaka ya 90 mpaka 2000 ila akaja kupotea kwenye ramani. Ukimtaja James Oraa hapa Moshi kidogo watu wa enzi hizo watamkumbuka, ila ukimtaja Alex leo hii moshi hakuna anaemjua. Bora kaka yake na yule mdogo wao ndio walikua wanafahamika.

Tatu, hakua na hela za maana. Inawezekana kabisa kutokana na background yake alikua na vimichongo vya hapa na pale ila hela kama hela hakua nayo. Ni dogo aliekua anapenda sifa na kujikweza, kiasi kwamba akiwa na hela kidogo basi unaweza dhani ni don flani kumbe sio hivyo, japo hakua choka mbaya.
 
Ila moshi kwa kuharibu majina ya watu[emoji23][emoji23] eti james oraaa. Hiyo oraa kirefu chake ni nn? Ndo mambo ya akina gire, janee, ombeee[emoji23][emoji23] babuuu yaani.. shida iko wapi kwani
 
Nami pia ndo napata chochote angalau.sijui nani atakua mkweli maana sijasikia hiki toka kwa mashuhuda wote waliohojiwa!!!
Inawezekana wanajaribu kumlinda huyo barmaid asijepelekwa kusaidia polisi. Ila lazima iko namna sio rahisi ugomvi kuanza hadi kuua bila chanzo cha msingi.
 
Ila moshi kwa kuharibu majina ya watu[emoji23][emoji23] eti james oraaa. Hiyo oraa kirefu chake ni nn? Ndo mambo ya akina gire, janee, ombeee[emoji23][emoji23] babuuu yaani.. shida iko wapi kwani
Mzee James Oraaa ana busara Sana Jana jioni naambiwa alienda Mweka kwa kina Gift na kuhaidi kusafirisha misiba yote miwili
 
Mzee James Oraaa ana busara Sana Jana jioni naambiwa alienda Mweka kwa kina Gift na kuhaidi kusafirisha misiba yote miwili
Kumbe bado yuko? Maskini. Nimepita insta kwa joyce kiria hata najuta. Nimeliajee[emoji23] nimepata hurumaa[emoji24][emoji24] mamake gift analiaaa. Gift anaonekana mdogo jaman maana mamake bado kijana kbs. Analia kwa uchunguu.. daah. Wapumzike kwa amani...
 
Yule ni mama mlezi, ma gift ni Marehemu
 
Hivi huyu James oraa si ndio mkewe mkubwa na watoto walifia ndani kwa ajali ya moto?
ndio huyo huyo!alieliwa baada y kufumaniwa na mkewe na mwenye mke aliekuwa nae!
akapigwa dushelele huku mke wake akisapoti jamaa wamfiree vzr!

mwisho wa siku mke akamwambia huwez kulala kitanda moja na mimi maana ntakuwa km nimelala na ke mwenzzangu
 
Hivi huo ugonjwa wenu wa short temper unaweza kupona
 
Mauaji yamekithiri, ndani ya wiki mbili ni taarifa za vifo na kuuana
 
Kile tunachoangalia na kusikiliza I.e movies, music vina impact katika Maisha either positive au negative, kiroho shetani anatumia sana celebrities ambao wameuza nafsi zao kwake kupush agenda zake duniani, kwenye gun violence kuna relation na Hollywood, Alex alikua ni mpenzi wa movie, hakua na habari na Ving’amuzi yeye ni Netflix, kuna roho zinapandwa kwenye hizi movies tunazoangalia hasa ukiwa addicted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…