Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Kwani Polisi wangepewa taarifa kuwa kuna mtu anatishia wenzie silaha wangekuja?

Iwe mjini iwe vijijini Polisi sizani kama wangekuwa na wepesi wa kufika eneo la tukio na kuzuia mauaji.

Watakwambia usafiri hawana mara vile mara hivi.
 
Hivi huo ugonjwa wenu wa short temper unaweza kupona
Hata sijui mkuu. Amd good thing is, huwa tunasahau haraka sana pia. Na kusamehe juu. Ila kunidhalilisha ndo tatizo. Kuna mambo nachukuliaga poa. Ila mengine nayaweka moyoni siku ifike.. yaan hasira zangu daah. Sema tu ni muoga kufanya maamuzi makubwa. Siyo nature kweli? Maana babangu same na mamangu same.
 
ndio huyo huyo!alieliwa baada y kufumaniwa na mkewe na mwenye mke aliekuwa nae!
akapigwa dushelele huku mke wake akisapoti jamaa wamfiree vzr!

mwisho wa siku mke akamwambia huwez kulala kitanda moja na mimi maana ntakuwa km nimelala na ke mwenzzangu
Sorry mkuu...naomba unielezee vizuri hii

Ilikuwaje?
 
Sorry mkuu...naomba unielezee vizuri hii

Ilikuwaje?
alikuwa anakula mke wa mtu.ilikuwa siku wanaenda kulana jamaa anachukua taxi wanaenda kukutana na mke wa mtu arusha.
kwahiyo watu wakiona gari ya jamaa iko mjini imepaki wanajua yupo!kumbe yupo zake gest na mke wa jamaa!

akaliwa mingo na kweli akaingia kwenye 18.jamaa mwenye mke akamfata mke wa J na kumpa mkanda mzima.
kisha wakamuibukia na njemba km 3 hivi!
akawekewa bastola akafirwa huku anachkuliwa video na mapicha jinsi alivyokunja sura akipigwa mshedede..
kipindi hicho tupo majalala ilikuwa tuna kopi za picha zake ukimpelekea anakupa elf50 halafu anazichana.mwisho wa siku akaona hizi picha naletewa kila siku napigwa tuu ela akawa hazinunui tena.ni kitambo sana hii I THINK NI 2005.ila jamaa bado yupo halafu kawa mlaini laini sijui alinogewa na mshedede hadi sshv analiwa..watoto na mke walifariki kipindi hicho hicho kwa moto..
 
Duuh, laana hizi. Sasa na mke alipata faida gani?
Sisi wanadam si wakamilifu. Yes, wanaume mnazingua sana lakini kumbuja mtu umezaa naye umeunganisha damu halaf unamdhalilisha kwa style gani hiyo. Mke aliyeliwa naye malaya tu
 
We babu mbona mhuni hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134]
Witty hawa mayanki wameharibu sana, wanalewa tu kibwege bwege hata hao madeni hawali mzigo ndo mana tunaitwa maboya.
Kino baada ya miaka mingii nikarudi siku hhiyo kula bata aisee nilikuta hawa wapenda sifa wamejazana na vifunguo vyao wananuliana bucket basi.
Yaani baadhi sana ya watu tulikutana tunajuana toka enzi hizo wakawa wananshsangaa tu.
Na kwenye baadhi ya bar kongwe nilikuta wahudumu wa zamani Enzi hizo vigorii wamezeeka vikongwe.
Nikaona isiwe tabu Kuita vibinti enzi hizo tunavinyandua viko Jite,Sijui Miss nini dooh yame kuwa majimama haswa mishsangingi nikayapiga round nikayatoroka.
Kwa ujumla nilijiuliza sana Kino hii Wajanja wameenda wapi?
Pita Sinza ndio balaa na hivyo vi pub
Tatizo videmu vyao ni hivyo hivyo,vinadhani buku 30 deal sana.Navipa nasepa utantafuta ukiwa fresh
Kiujumla niliishia kuchuna tu.
Akawa x wangu nae ashakua mchumba wa mtu ananiletea mzigo nakula fresh tu
 
dah mkuu unamchafua mzee wa watu vibaya sana bro...sijui kwann kama hujui kitu uliza bro na story yenyewe hata huijui..wewe unamzungumzia James Selengia na sio James Oraa..Selengia ana sheli mzee oraa hana sheli kwann unafanya hivi? acha kumchafua mtu usiemjua..
halafu hata kama ungekua unamjua james selengia bado story yenyewe sio hivyo ulivyosema huu uzi umeleta damage kubwa sana kwa watu
 

Mh mama gift anasema hakuna walichopewa na hakuna ushirikiano kutoka upande wa pili. Na anazika kijichi leo
Gift wazazi wake wote walishafariki akiwa mdogo sana. amelekewa na babu yake
 
Ni kweli Alex hakua na hela kivile...ila hakua amechoka kiivyo..pia alikua mchakarikaji sana
Pia kwa kuongezea Alex ni mtoto wa Nje wa Mzee Oraa, sio wa ndoa ...ila kwa vijana wa mjini wa umri wake alijulikana kiaina kwa pale moshi wakati yupo barclays...
 
ndio huyo huyo!alieliwa baada y kufumaniwa na mkewe na mwenye mke aliekuwa nae!
akapigwa dushelele huku mke wake akisapoti jamaa wamfiree vzr!

mwisho wa siku mke akamwambia huwez kulala kitanda moja na mimi maana ntakuwa km nimelala na ke mwenzzangu
kama hujui kitu kaa kimya...unamsemea james selengia
 
Miss pablo kumpiga mtu risasi 3 ulidhamiria kufanya mauaji,inaonekana walevi siku hiyo walikua fiti wakatoka nduki...umeshampiga risasi ya mguu then unampiga ya kifua bdae kichwani,marehemu alikua zaidi ya mnyama
 
Homeless bado umelala kwa uchovu hapo America.


Nakusubiri uamke nikukanyage spana zingine.


Sitaogopa una stress kiasi gani [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…