Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

65% ya magari yanaenda nchi nyingine ! -

sisi kwetu huku shida nini gharama za kodi au uchumi wakati?
 
Mbona hii meli imewahi kuja Bandari ya hapo hapo Dar es Salaam kipindi cha nyuma ?

Nini kimebadilika mpaka iwe habari ?

Naomba ufafanuzi tafadhali !
Kweli mkuu hata mimi nilishawai kuiona miaka ya nyuma ikiwa inashusha magari hapohapo bandari ya DSM.hii nchi ngumu mno kwa uongo.
 
Mbona hii meli imewahi kuja Bandari ya hapo hapo Dar es Salaam kipindi cha nyuma ?

Nini kimebadilika mpaka iwe habari ?

Naomba ufafanuzi tafadhali !
Leo hii habari haizungumzii ukubwa wa meli wala idadi ya makontena, inazungumzia idadi ya magari,
Ni rekodi mbili tofauti...
 
Bandari ya Dar es salaam imeendelea kuzivutia”

Sasa Mimi nauliza, bandari inahusikaje na Idadi ya magari na ukubwa wa meli?

Ni kwamba watu wameagiza magari mengi, Hakuna credit ya bandari wa siasa za Kifala
 
Terms za uwepo wake ndiyo kikwazo. Hakuna asiyetaka mradi wenye maendeleo ya win win! Win loose ndiyo haikubaliki.

Hii win loose ilikua ni fikra potofu, kuamini kuwa kila jambo lina upigaji, jambo ambalo halikuakisi uhalisia. Hata kama kulikua na viashiria vya upigaji, si yangefanyika mabadiliko ya watendaji lakini mradi ukaendelea? Hii pia inagusa na mradi wa NLG kule Lindi ambao umesuasua mradi mkubwa kabisa, lakini pia imehusisha miradi ya Gesi kule Mtwara Makampuni kuondoka.
 
Tunajisifu kwa kupitisha magari ya Zambia na Malawi. Shehena za mizigo mizigo inapita Mombasa.
 
65% ya magari yanaenda nchi nyingine ! -

sisi kwetu huku shida nini gharama za kodi au uchumi wakati?
Naona ni sawa tuu, kumbuka Si nchi moja wala mbili, yaweza kua 5 au zaidi, kuna uwezekano kati ya hizo nchi, bado idadi yetu ipo juu...

NOTE : Bado haipingiki ushuru wetu upo juu sana.
 
Hata ingekuwa tupu wangeileta? Meli imeletwa na mzigo, wanalipwa na wenye mzigo.
Ndio nakwambia wenye mzigo wameileta kwa sababu huduma zimeboreshwa.Wailete tupu kwani wanafanya maonyesho ya meli?
 
Tunajisifu kwa kupitisha magari ya Zambia na Malawi. Shehena za mizigo mizigo inapita Mombasa.
Alaa kwa hiyo magari ya Zambia na Malawi sio shehena ya mizigo? Kule Mombasa hawapitishi magari? Aisee wewe ni mburula wa kiwango cha vumbi kabisaaa
 
Shida ya maccm ni moja kama kundi Lililoko madarakani halikunufaika na 10% na mradi haujaanza huwa hawaendelezi na huwa wanaona sifa zitakwenda kwa mwingine.Huwa ni wapumbavu Sana hao.
 
Bandari ya Dar es salaam imeendelea kuzivutia”

Sasa Mimi nauliza, bandari inahusikaje na Idadi ya magari na ukubwa wa meli?

Ni kwamba watu wameagiza magari mengi, Hakuna credit ya bandari wa siasa za Kifala
Ukubwa wa meli means high volume of cargo na hichi ndicho biashara ya bandari inataka kwamba volume kubwa ya mzigo inapita na Wana uwezo wa ku clear mzigo mkubwa kwa ufanisi na haraka.

Na kampuni zingine zikiona hili zitapitisha mizigo yao hapo.
 
Leo hii habari haizungumzii ukubwa wa meli wala idadi ya makontena, inazungumzia idadi ya magari,
Ni rekodi mbili tofauti...
Magari hayawekwi kwenye containers lakini kwa ukubwa wa meli hii hata meli zingine za mizigo ya kwenye containers zinaweza leta meli zao Dar na mzigo ukawa cleared Dar ,ndio logic hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…